LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #301
JoannahBro black americans wamepitia humiliation sana ulipaswa kuwaonea huruma sio kuwapinga... wanachofanyiwa ni ubaguzi ukweli ni kwamba mzungu bado anambagua mnegro, na anajipendekeza kwako muafrica sababu wewe ni cheaplabour na unatabia ya kumnyenyekea..je wanacholalamikia sio haki yao?? Ulishapita hood zao umeona shule wanazosoma watoto wao ni uchafu..Unaonaje hapa tz huduma za afya ziwe bure kwa mburundi alafu wewe mzawa gharama ziko juu?? Kama umesafiri basi utakubaliana na mimi kuwa USA ni nchii yenye gharama kubwa sana linapokuja suala la matibabu. Negros wanafia majumbani