JoannahBro black americans wamepitia humiliation sana ulipaswa kuwaonea huruma sio kuwapinga... wanachofanyiwa ni ubaguzi ukweli ni kwamba mzungu bado anambagua mnegro, na anajipendekeza kwako muafrica sababu wewe ni cheaplabour na unatabia ya kumnyenyekea..je wanacholalamikia sio haki yao?? Ulishapita hood zao umeona shule wanazosoma watoto wao ni uchafu..Unaonaje hapa tz huduma za afya ziwe bure kwa mburundi alafu wewe mzawa gharama ziko juu?? Kama umesafiri basi utakubaliana na mimi kuwa USA ni nchii yenye gharama kubwa sana linapokuja suala la matibabu. Negros wanafia majumbani
Huyo anayeeleza keshawahi kufika huko?au kaangalia movie kama wewe?halafu mbona mwenzio anatetea 50cent Sasa hapo mbona unajikanyaga?au ndio ule msemo twende mbele turudi nyuma unatumika?
Mzungu ndio kamfanya mnegro dishi kuyumba kwa nyanyasaji alioufanya so wakumchukia ni huyohuyo mzungu..negro huwa wanamaind sana kuona africans tunavyoishi na wazungu vizuri kiufupi wanatuona wasaliti but sio makosa yao hata wewe ungeona hivyo
Upo ndani ya Ardhi ya mtu mweusi tena unaishi kwa amani usiku unalala kwa amani unajiachia unapumua tu hovyo mpka unataka kujinyea alafu unakashifu Mtu mweusi ?! ...... Pumbavu zako kaishi uarabuni basiMTU mweusi anaishi na chuki Sana hivyo sio rahisi akawa MTU kamili.
Wewe ndo umeangalia kwenye movie ndio maana unadhani Marekani maisha ni mazuri kama kwenye movie. Mimi nilienda 2003 wakati inda club bado ipo top ten billboard . Nikaenda tena 2009, 2013 na 2017.Huyo anayeeleza keshawahi kufika huko?au kaangalia movie kama wewe?halafu mbona mwenzio anatetea 50cent Sasa hapo mbona unajikanyaga?au ndio ule msemo twende mbele turudi nyuma unatumika?
MTU mweusi anawaza matusi kichwaniUpo ndani ya Ardhi ya mtu mweusi tena unaishi kwa amani usiku unalala kwa amani unajiachia unapumua tu hovyo mpka unataka kujinyea alafu unakashifu Mtu mweusi ?! ...... Pumbavu zako kaishi uarabuni basi
Huna lolote wewe mbona wenzio kina wanaokujua huko Kiranga na Nyani Ngabu tunawafahamu japo tu Kwa story zao,we bwana bwana utakuwa uliangalia prison break...Wewe ndo umeangalia kwenye movie ndio maana unadhani Marekani maisha ni mazuri kama kwenye movie. Mimi nilienda 2003 wakati inda club bado ipo top ten billboard . Nikaenda tena 2009, 2013 na 2017.
Kwenda USA ni jambo la kawaida
Huna lolote wewe mbona wenzio kina wanaokujua huko Kiranga na Nyani Ngabu tunawafahamu japo tu Kwa story zao,we bwana bwana utakuwa uliangalia prison break...
😅😅😅🤣🤣🤣 basi sawa mkuu
Wew akili huna, ni wew ndo umeanza kumtukana mtu mweusi kwa kumuita sio binadamu kamili kwa madai kwamba ana ishi na chuki rohoni,MTU mweusi anawaza matusi kichwani
Ila wewe una akili nyingi utafikiri umezaliwa na baba angu. Umetumia akili nyingi sana kuwaleta Nyangi Ngabu na Kiranga. Haya ngoja tuone🤣🤣🤣Huna lolote wewe mbona wenzio kina wanaokujua huko Kiranga na Nyani Ngabu tunawafahamu japo tu Kwa story zao,we bwana bwana utakuwa uliangalia prison break...
🤣🤣🤣🤣Wew akili huna, ni wew ndo umeanza kumtukana mtu mweusi kwa kumuita sio binadamu kamili kwa madai kwamba ana ishi na chuki rohoni,
wakati unaishi unaishi katka ardhi ya mtu mweusi kwa amani na mshahara anakulipa alfu unakashifu mtu mweusi ? Pumbavu kabsa wew ndo maan watu wanasemaga Walimu akili hamna leo nimehakkisha hili kwa macho yangu mwenyewe.
Haya nenda uarabuni sasa uonewa kama utakuwa unalala tu kwa amani huku ukitoa hewa kila upendapo katk hiyo tundu yako
Famchezo na Diaspora wewe🤣🤣🤣🤣Ila wewe una akili nyingi utafikiri umezaliwa na baba angu. Umetumia akili nyingi sana kuwaleta Nyangi Ngabu na Kiranga. Haya ngoja tuone🤣🤣🤣
Hii takwimu ni ya uwongo sanaaaaa, wazungu ndiyo wamejaa jela usa zaidi ya 64%. Wamarekani weusi USA ni wachache sanaaaAsilimia 75% ya wafungwa wote kwenye jela za marekani ni African American hawa jamaa ni weupe kichwani kama wamezaliwa porini hata maisha Yao wanavyoishi ni vituko
Niache kidogo nakunywa juice ya miwa🤣.. mi ni Leo 👑 of the jungle.
Isingekuwa ushamba wako wa kutaka kupeleka watoto shule za kiingereza aisee ningekutongoza nikuoe namimi Nina " grace" ya kukubaliwa na mwanamke yoyote nitakae mtongoza..Niache kidogo nakunywa juice ya miwa🤣.. mi ni Leo 👑 of the jungle.
Mi niolewe na mjuaji kama wewe si utanipa talaka kesho yake maana humo ndani kutawaka moto😅.....zile shule zinachangamsha akili Sasa hapo umenunua uniform zako na mfagio na 200 ya uji hivi kweli akili itachangamka wewe🤔🤔🤔🤔Isingekuwa ushamba wako wa kutaka kupeleka watoto shule za kiingereza aisee ningekutongoza nikuoe namimi Nina " grace" ya kukubaliwa na mwanamke yoyote nitakae mtongoza..