Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

Kwa mwanamke anae nipa utamu wala sio mjuaji. Am a gentleman kama alivyo kuwa J.K enzi zake. A nice daddy
 
Kayumba ndo zinawafanya watoto wana changamka na kuwa wakakamavu.

Shule za English Medium anaingia mbu tu darasa zima wanaanza kulia na ni darasa la saba hao
 
Kayumba ndo zinawafanya watoto wana changamka na kuwa wakakamavu.

Shule za English Medium anaingia mbu tu darasa zima wanaanza kulia na ni darasa la saba hao
Umeuanza na Kayumba yako,ndio maana hujui maana ya illegal migrant na Illegal trade🏃🏃🏃
 
Kuna nyuzi zingine huwa naziangalia na kuzidharau tu. Hata kuchangia naona ghasia tu.

Kuna watu wana uwezo mkubwa wa kuanzisha thread na kupost kuliko wa kufikiri.
Wewe hapo mi ndio ukinipa story za Texas sijui St Monica ndio nakuamini,eti na huyu mwenzangu tunaengalia wote prison break anaanza kunisimulia mambo ya state jamani,anasema eti na huko hamna madawati na wamarekani wanakufa majumbani hawana hata Panadol 🙆🙆
 
In few words what I can say is

#Kataaulikud
 
Huyo siku zote najua yuko Vingunguti.

Hata mimi nimeshangaa.
 
Kuna wale ndugu zetu wa damu walio sahau asili zao ,watakuwa wanafanana na hao.
 
Wewe hapo mi ndio ukinipa story za Texas sijui St Monica ndio nakuamini,eti na huyu mwenzangu tunaengalia wote prison break anaanza kunisimulia mambo ya state jamani,ana

sema eti na huko hamna madawati na wamarekani wanakufa majumbani hawana hata Panadol 🙆🙆
Umemuita mungu wako kiranga kajibu maombi yako basi umefurahi mwenyewe🤣🤣🤣.

Ila Ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Hakuna kilicho badilika kwenye hoja yangu.
 
Uhalifu hutokana na kukosa fursa,mosi ya elimu,pili ajira sababu ya kukosa elimu,weusi huko marekani njia ya mkato kujikomboa ni michezo na burudani
Wapo wahamiaji wengi ambao ni black kutoka Nigeria, Ghana, Jamaica m.k wamesoma Marekani na sasa hivi ni madaktari wakubwa n.k

Black wa Marekani hawataki kusoma. Na black mwenzao akisoma wanasema anajifananisha na mzungu. Wanamchukulia kwenye jamii yao kama msaliti.

Au black mwenzao akiongea kingereza vizuri wanamchukulia ni msaliti ambaye anajifananisha na mzungu.

Ni watu ambao ni wahuni na hawataki shule. Hawa jamaa culture yao ndiyo inawaharibu.

Jamii yao haihamasishani kwenye kusoma. Wanahamasishana kwenye michezo na uimbaji. Kwenye suala la elimu hawataki kulisikia.
 
Wamarekani weusi mnapambana sana kwenye uzi.
 
Kwamba black marekani hawataki shule,acha uwongo,eti akiongea kiingereza vizuri wana-mdiss,una umri gani!?..wamarekani weusi wanaongea kiingereza tangu utoto
 
Umemuita mungu wako kiranga kajibu maombi yako basi umefurahi mwenyewe🤣🤣🤣.

Ila Ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Hakuna kilicho badilika kwenye hoja yangu.
Au wewe unavutaga vitu vikali,Kiranga kama haamini Mungu Sasa yeye kawaje Mungu Tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…