Wamarekani weusi waathirika zaidi na virusi vya Covid19 tofauti na wenye rangi nyeupe

Kwamara yakwanza naona umeisema vibaya us leo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using My COVID-19
 
Nawanavyouliwa pia hao watu weusi uwe unasema sio unasema wakiwa wanapewa mamlaka tu watu weusi huko wanauliwa kama samaki Huko kwengne wataka wapewe nyadhfa sio mbaya ila angalia na uwingi na uchache wake

Sent using My COVID-19
 
Unaongelea Councillor wakati Marekani mtu mweusi amekuwa rais tena kwa mihula miwili mfululizo na kuna Senator mwanamke wa kisomalia, hapo utaongea kitu gani.
Kabla yahuo obama walipita marais wangapi wa US Kabla Kupatikana Huyo Barack ?!

Sent using My COVID-19
 
Unaongelea Councillor wakati Marekani mtu mweusi amekuwa rais tena kwa mihula miwili mfululizo na kuna Senator mwanamke wa kisomalia, hapo utaongea kitu gani.
'Ulizia Russia, saudia, Iran, nk mweusi hata uenyekiti wa mtaa Urusi au Saudia hawezi kupata.'

Nimeonyesha uongo wa sentence hapo juu.

Haya nawe onyesha uongo wa nilichokiandika.
 
Ni kweli kabisa mkuu, bwana Sagbo ambae ni Benin ameshikilia kiti hicho hata amebakisha miezi kidogo kumaliza.

Na vile mimi huona Warusi kama makatili sana !!!
Kweli mkuu,mtu anapolaumu Russia kutokua na watu weusi madarakani ajiulize pia Kwa historia ya Russia lini ilishakua na integration na weusi kiasi cha kwamba wazoeleke huko Russia?
 
Laiti ungewajua hao watu ungebadili kauli yako. Wanajionaga immortal na invisible. Ni watu fulani hawashauriki, sio wastaarabu, hawafuati maelekezo, na wanapenda sana kupingana na authority.
Iliposemekana watu wakae ndani watoto wao ndio wanaongoza kujazana Parks wakicheza basketball, na kukusanyika familia na marafiki na wanafanya house parties. Bahati mbaya wanaoadhurika ni wazazi na wazee wao maana wengi wao wana afya mbaya kutokana na vyakula wanavyokula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao black Indians Wana damu ya kiafrika Kumbuka enzi za utawala wa muingereza waafrika wengi walipelekwa Goa India wakati India ilikua inatawaliwa na muingereza,na kulikua na waafrika wa kike walikua wanawafanya wake zao kwa lazima na hao wahindi weusi wanapatikana katika ule mkoa wa Gujarat,goa na Mumbai ambao zina historia ya utumwa wa waafrika, so hao wahindi weusi Wana damu ya east Africa.
Sijskusudia kwamba black indian wako america

Nimekusudia kua sio kila mweusi ni muafrica na kwamba kwasababu hiyo basi anavidhibiti imara dhidi ya corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli,Kuna mkenya kafia huko juzi wazazi wake wote weusi Tena wapo hapa Kenya, aligonjeka kwa siku nne tu halafu kaaga na kulingana na familia yake hakukua na historia yoyote ya magonjwa mwilini mwake,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini wao unazidi huu wa hapa Tz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achilia mbali corona, someni pia juu ya magonjwa mengine sugu mengi tu, tafiti zinaonyesha gene za blacks zinashambuliwa kuliko gene za wazungu, na katika hali ya kawaida wakipewa maisha yanayofanana white na black life expectance ya mzungu iko juu ya mweusi kwa wastani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana US kila mtu ni migrant tofauti na hizo nchi umetaja.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mmoja tu saudia wapo,China wapo? Marekani hawabagui watu katika nyadifa za uongozi maana pale kila mtu ni migrant tofauti na hizo nchi zingine.
'Ulizia Russia, saudia, Iran, nk mweusi hata uenyekiti wa mtaa Urusi au Saudia hawezi kupata. '

Hio sentensi hapo juu si ya kweli, kuna jamaa anaitwa Jean Gregoire Sagbo, ni mzaliwa za Benin na ni councilor of Novozavidovo huko Urussi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hujasokea wanatumia hio mbinu kuwaua Kaka zetu huko ili serikali zetu ziwe na hofu kwamba mtu mweusi yupo hatarini ili walete ile chanjo Yao.
Kuna kitu wazungu wanataka kutuaminisha kwamba mwafrika naye anaathirika kama mzungu. Kuna kitu wanafanyiwa. Nahisi kuna hujuma wanafanyiwiì ili wapukutike.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…