Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

Huyu bado ana akili zile zile za awamu iliyomuokota jalalani, anataka uhuru wa habari uzimwe na watu waanze kutiwa kwenye viroba kama walivyofanya wao.

Ni mawazo duni sana !
 
Hahahahaha nilidhani vita vya kiuchumi viliisha baada ya dkt Magufuli kufa, maana mama anafungua nchi
 
Serikali inapaswa kutenda haki na sio kutisha raia.
 
Hahahahaha nilidhani vita vya kiuchumi viliisha baada ya dkt Magufuli kufa, maana mama anafungua nchi
 
Toka tuingie awamu ya tano, spika na yeye anatoa amri kama vile ana ubia wa mamlaka ya ki u Rais!

Baada ya wao kuingia madarakani kibabe, basi yoyote anayepinga wanachotaka wanatumia ubabe maana wanajua wananchi hawana la kufanya.
 
 
kuna wakati najiuliza hivi kuna watu wamehakikishiwa wataishi milele? au wanavyotudhurumu wataenda navyo? binafsi sielewi! naamini sana katika kutafuta kwa jasho na njia halali nasikitika sana watu wanaotakiwa kutusaidia na kutufusha ndio wanaotuuza!

Kibaya zaidi sisi tunaohitaji huo msaada tumekubali kudhalilika na kuwakumbatia huku tukipewa makombo kidogo na kulidhika yaani toweze kumudu leo tu! kama mikopo ya bodaboda, mama lishe, na vimiradi vidogovidogo ambavyo hatuwezi kutoboa mhn!

Ukitaka kuingia uchungu jaribu kuvaa uhusika wa Mbwa wako unayemtupia chakula baada ya wewe kula (achana na mbwa wao wanaokula vizuri kuzidi sisi) akiwa kwenye banda huku akiwa na mnyororo!
ndivyo tunavyofanywa pia.

MWENYEZI MUNGU atuhurumie kwa kuwa wavumilivu tusiovumilika na kila siku tutaishia malalamiko!
shame upon us! Hata wanamziki na wasanii ambao wangeweza kutuhamasisha kwa nyimbo za kujikomboa kiuchumi na fikra sasa wanatuimbia nyimbo za maombolezo kabla ya kwenda kaburini kwa kuwa wote wanahubiri ngono hakuna tena anayezungumzia ukimwi unaua na badala yake wengine wamekuwa wahamasishaji wa mapenzi ya jinsia moja na jamii iko kimya ikiwaangalia.

Viongozi wetu wa dini wameondoka kwenye misingi yao ya kujenga mioyo ya tumaini kwa waumini na wememezwa na sadaka na ibada za mazingaobwe!

Walio kwenye haki hawawezi kutoa tena haki na wakati mwingine si kwamatakwa yao bali mazingira yanawalazimisha!
 
Mungu ananena na Spika kwamba , Kama ana mamlaka ya kuwatetea watu KWa Sasa hafanyi hivyo KWa kujua , sio siku nyingi atashushwa na kuinuliwa mwingine awezaye kuyatenda na kuyaishi KWa watu wake,imekua
 
Sijawahi kuwaamini ccm,tangu wapige kwenye escrow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…