Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uandishi wako una changamoto.
Ilitakiwa kabla hujaposti usome kwanza kile ulichokiandika kama kinaeleweka!
 
Ipo siku tutaambiwa Waha tunaozunguuka ziwa Tanganyika tuhamie Tabora Sikonge, tunaharibu mazingira na mazalia ya samaki
 
HUu uoga wa kupoteza kura hufanya tuishi maisha mabovu,
Kwa hio ngorongoro ipotee kisa kura ?
 
Enyi wapumbavu msio na chembe ya akili na maarifa nani ? Kawafanya wapumbavu kuamini kwamba CCM inategemea Kura za walalahoi kushinda chaguzi ?
 
Mh.Rais SSH hana chuki na ndugu zetu waitwao WAMASAI....

Hana ubaguzi wa awaye yeyote.....

Umenikumbusha hayati Rais wetu JPM (rip)alipomuuliza mh.Waziri mkuu idadi ya majimbo yaliyoko Lindi na Mtwara [emoji1787][emoji1787]

#Nchi Kwanza mengine baadaye[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huenda kuna campaign ya kumhujumu Samia asirudi madarakani maana hizi harakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…