Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwakani juna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.

Unguja na Pemba nzima waoifa jura hawazidi 500,000

Kupanga ni kuchagua

Wamasai wanasemabira wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
Uandishi wako una changamoto.
Ilitakiwa kabla hujaposti usome kwanza kile ulichokiandika kama kinaeleweka!
 
Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwakani kuna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.

Unguja na Pemba nzima wapiga kura hawazidi 500,000

Kupanga ni kuchagua

Wamasai wanasema bora wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
Ipo siku tutaambiwa Waha tunaozunguuka ziwa Tanganyika tuhamie Tabora Sikonge, tunaharibu mazingira na mazalia ya samaki
 
HUu uoga wa kupoteza kura hufanya tuishi maisha mabovu,
Kwa hio ngorongoro ipotee kisa kura ?
 
Enyi wapumbavu msio na chembe ya akili na maarifa nani ? Kawafanya wapumbavu kuamini kwamba CCM inategemea Kura za walalahoi kushinda chaguzi ?
 
Mh.Rais SSH hana chuki na ndugu zetu waitwao WAMASAI....

Hana ubaguzi wa awaye yeyote.....

Umenikumbusha hayati Rais wetu JPM (rip)alipomuuliza mh.Waziri mkuu idadi ya majimbo yaliyoko Lindi na Mtwara [emoji1787][emoji1787]

#Nchi Kwanza mengine baadaye[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwakani kuna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.

Unguja na Pemba nzima wapiga kura hawazidi 500,000

Kupanga ni kuchagua

Wamasai wanasema bora wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
Huenda kuna campaign ya kumhujumu Samia asirudi madarakani maana hizi harakati
 
Back
Top Bottom