Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mgao wa waarabu umekufikia?au umenufaikajeKura laki 5 na manufaa ya watanzania Milioni 60 na ushee unachagua kipi?
Uandishi wako una changamoto.Mwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani juna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima waoifa jura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wanasemabira wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
Kushinda uchaguzi Tanzania inategemea😥Kila siku tuna waambia hawahitaji hiyo piece of paper yenye tick kushinda😂😂 mnakua hamuelewi. Kwanini
Umenon'gona sana wa mbele hawasikii ongeza sauti. MichaelKushinda uchaguzi Tanzania inategemea
(A) nani anahesabu kura , na
(B)nani anatangaza matokeo.
Hayo mengine ya kampeni na kupiga kura ni mbwembwe za uchaguzi tu!
Ipo siku tutaambiwa Waha tunaozunguuka ziwa Tanganyika tuhamie Tabora Sikonge, tunaharibu mazingira na mazalia ya samakiMwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani kuna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima wapiga kura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wanasema bora wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
Lini waliwahi kushinda? NapeAnaweza kushinda bila hizo
Manufaa kivipi hebu fafanua manufaa gani ??kwa mimi mkazi wa mbalache hapa makete?!Kura laki 5 na manufaa ya watanzania Milioni 60 na ushee unachagua kipi?
Bora huko,huyu atatupeleka BurundiIpo siku tutaambiwa Waha tunaozunguuka ziwa Tanganyika tuhamie Tabora Sikonge, tunaharibu mazingira na mazalia ya samaki
Kupotea kiaje,ipo pale miaka na miakaHUu uoga wa kupoteza kura hufanya tuishi maisha mabovu,
Kwa hio ngorongoro ipotee kisa kura ?
Jamaa mmoja ametufananisha na bidhaa FEKI 😳🤦🏽♂️😥Kila siku tuna waambia hawahitaji hiyo piece of paper yenye tick kushinda😂😂 mnakua hamuelewi. Kwanini
Laana iko huko kwenu wewe na wazazi wakoDah huyu Mama ni laana kwa taifa letu.
Huenda kuna campaign ya kumhujumu Samia asirudi madarakani maana hizi harakatiMwaka huu kuna uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakani kuna uchaguzi mkuu,ila ninachokiona Mama Samia ni kama hazitaki kura 500,000 za wamasai.
Unguja na Pemba nzima wapiga kura hawazidi 500,000
Kupanga ni kuchagua
Wamasai wanasema bora wachague mbuzi ila sio mgombea wa CCM
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]HUu uoga wa kupoteza kura hufanya tuishi maisha mabovu,
Kwa hio ngorongoro ipotee kisa kura ?
Tuliza mkundu huyo bi mkubwa ni laana.