Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Basi kuna mradi kuna sehemu inaitwa tembosifahamu na nadhani hapatakua na jambo kama hilo Tanzania 🐒
Mfugaji yoyote akishakuja sehemu tegeemeni majangaWasukuma wametaoakaa Mkoani Lindi mwaka wa 10 sasa .
Kuna migogoro ya hapa na pale, sometimes vifo vinatokea huko kwa migogoro ya wafugaji na wakulima. Kuongeza wamasai tena itakuwa ni mzigo mwingine. Kuna rafiki yangu yuko police Liwale Lindi ananipa habari za operation zao za kutatua changamoto za Wasukuma na wakulima wa Lindi
huwa unapita huko ukiwa unaelekea DRC au ZAMBIA?🐒Basi kuna mradi kuna sehemu inaitwa tembo
Nakwambiaga mwanangu tembea uone usisubiri kuadisiwaga na kusikiaaa tu 😄
Ova
Duh aise unachat na bahari hapahuwa unapita huko ukiwa unaelekea DRC au ZAMBIA?🐒
wapelekee mahindi wana njaa kiasi,Duh aise unachat na bahari hapa
Alhamdulahi hii dunia nmeizunguka kiasi chake
Zambia kongo sina mishe tena soon ntaanza safari za south Sudan tena mwanangu
Ova
We mwanangu nakukubali ttz lako uko upande ule shida ndy hapo,ila ntafanyaje inabidi tuishi hivyo hivyo 😄huwa unapita huko ukiwa unaelekea DRC au ZAMBIA?🐒
Kua mzalendo kijanaAcha nikae kimya, familia bado inanitegemea
Hata sakata la majuzi la Awadh kuwapa kipigo cha shalubela viongozi waandamizi wa Chadema na wanachama wao kutekwa na kupotezwa katika zoezi la kuwazuia kwenda Mbeya ilikuwa mpango mkakati wa kufifisha zile 4Rs zake alizokuwa anatamba nazo. Hadi 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana kama ambavyo aliwa kusema JK kuwa mgombea wa CCM 2025 ni Samia labda hapa katikati mambo yaharibike sana, watu wameshapata password ya kuyaharibu sana na bado yataharibika mengi tu.Kizimkazi chukua tahadhari kubwa. CCM hasa wa bara wallikua wanatafuta doa la kukuharibia kuelekea uchaguzi wa 2024 na 2025 sasa washakujaza. Wanayokwambia mezani baadae wanaenda kucheka chooni. Yanni wanasema wamekujaza na ukajaa mazima
Kazi iendeleee
Aisee mbona hatari sanaHata sakata la majuzi la Awadh kuwapa kipigo cha shalubela viongozi waandamizi wa Chadema na wanachama wao kutekwa na kupotezwa katika zoezi la kuwazuia kwenda Mbeya ilikuwa mpango mkakati wa kufifisha zile 4Rs zake alizokuwa anatamba nazo. Hadi 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana kama ambavyo aliwa kusema JK kuwa mgombea wa CCM 2025 ni Samia labda hapa katikati mambo yaharibike sana, watu wameshapata password ya kuyaharibu sana na bado yataharibika mengi tu.
Familia itakutegemea Tu,,hata ukisemaAcha nikae kimya, familia bado inanitegemea
Ila uzuri yeye mwenyewe anajua kwani aliwahi kusema kuwa kuna Mstaafu mmoja aliwahi kumtonya kuwa adui yako ni wa shati ya kijani mwenzako, sasa kazi kwake kufanya maamuzi sahihi kwani mwisho wa siku ni yeye atawajibika iwe amepotoshwa au ni dhamira yake mzigo atabeba mwenyewe.Aisee mbona hatari sana