Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wasukuma wametaoakaa Mkoani Lindi mwaka wa 10 sasa .
Kuna migogoro ya hapa na pale, sometimes vifo vinatokea huko kwa migogoro ya wafugaji na wakulima. Kuongeza wamasai tena itakuwa ni mzigo mwingine. Kuna rafiki yangu yuko police Liwale Lindi ananipa habari za operation zao za kutatua changamoto za Wasukuma na wakulima wa Lindi
 
Mfugaji yoyote akishakuja sehemu tegeemeni majanga
Awe masai,msukuma,mgogo nk

Ova
 
Basi kuna mradi kuna sehemu inaitwa tembo
Nakwambiaga mwanangu tembea uone usisubiri kuadisiwaga na kusikiaaa tu 😄

Ova
huwa unapita huko ukiwa unaelekea DRC au ZAMBIA?🐒
 
Wewe tumekuchoka na mada zako za Ngorongoro, ni mchochezi na ni kama vile maslahi yako yanaenda kuharibiwa huko Ngorongoro. Hakuna namna wamasai waendelee kukaa kwenye hifadhi na kuhiharibu. Sasa hifadhi ikiharibiwa na kutoweka utanufaika na nini. Acha serikali ifanye kazi yake kwa maslahi ya Taifa na urithi kwa vizazi vijavyo.
 
huwa unapita huko ukiwa unaelekea DRC au ZAMBIA?🐒
Duh aise unachat na bahari hapa
Alhamdulahi hii dunia nmeizunguka kiasi chake
Zambia kongo sina mishe tena soon ntaanza safari za south Sudan tena mwanangu

Ova
 
Duh aise unachat na bahari hapa
Alhamdulahi hii dunia nmeizunguka kiasi chake
Zambia kongo sina mishe tena soon ntaanza safari za south Sudan tena mwanangu

Ova
wapelekee mahindi wana njaa kiasi,

waambie pia kwenye hifadhi yetu ya Taifa ya Ngorongoro hakuna tena watu wanaishi huko, wote wako msomera mkoani Tanga sasa hivi 🐒
 
Kizimkazi chukua tahadhari kubwa. CCM hasa wa bara wallikua wanatafuta doa la kukuharibia kuelekea uchaguzi wa 2024 na 2025 sasa washakujaza. Wanayokwambia mezani baadae wanaenda kucheka chooni. Yanni wanasema wamekujaza na ukajaa mazima

Kazi iendeleee
Hata sakata la majuzi la Awadh kuwapa kipigo cha shalubela viongozi waandamizi wa Chadema na wanachama wao kutekwa na kupotezwa katika zoezi la kuwazuia kwenda Mbeya ilikuwa mpango mkakati wa kufifisha zile 4Rs zake alizokuwa anatamba nazo. Hadi 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana kama ambavyo aliwa kusema JK kuwa mgombea wa CCM 2025 ni Samia labda hapa katikati mambo yaharibike sana, watu wameshapata password ya kuyaharibu sana na bado yataharibika mengi tu.
 
Aisee mbona hatari sana
 
Aisee mbona hatari sana
Ila uzuri yeye mwenyewe anajua kwani aliwahi kusema kuwa kuna Mstaafu mmoja aliwahi kumtonya kuwa adui yako ni wa shati ya kijani mwenzako, sasa kazi kwake kufanya maamuzi sahihi kwani mwisho wa siku ni yeye atawajibika iwe amepotoshwa au ni dhamira yake mzigo atabeba mwenyewe.
 
Back
Top Bottom