Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Habarini za jumapili wa jf kwenye pitapita zangu huko X nimekutana na hizi video na picha za wamaasai wanaandamana wanataka haki zao za msingi ambazo serikali inaoonekana kuwanyima.Serikali ya CCM naona wamekosa weledi kabisa wa kuiongoza hii nchi naona zile sifa ambazo samia alikuwa akipewa huko nje taratibu watu watajua yeye ni mtu wa aina gani.Skendo zake zimekuwa nyingi kwenye maandano ya kenya walisema kapeleka askari,zimbabwe wakasema alihongwa pesa na wanamuita CHEAP PRESIDENT.

Sasahivi ukisema chochote kuhusu serikali watu wasiojulikana wanakufata na magari meusi wanakupeleka kusikojulikana.Sasahivi tanzania imekuwa haina amani tena,unajiuliza kama kina sugu wanapigwa hadharani sisi ambao hatuna vyeo tutafanywa nini.Kama mimi naandika ila nkikamatwa ni kwaheri.

Wamaasai wamedhihirisha yale maneno ya mbowe kwamba watu wamechoka,wamaasai nao wao wamelianzisha sijui ni lini na sisi watanzania wengine tutaingia barabarani na kudai haki zetu kama wakenya.

Ni muda sahihi sasa wa sisi kama watanzania kuamka na kuzidai haki zetu maana kutoka kwa mabepari wa kiafrica.Nsipopost kwa siku mbili mfululizo mjue na mimi washanbeba maana ukisema lolote siku hizi unakwenda na maji.Hii nchi imekuwa kama jehanamu

Mungu ibariki Africa,Mungu ibariki Tanzania,

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ukishauliwa na wajinga ukiwa mtawala utakuwa kama huyu👇👇

2 Mambo ya Nyakati 10
10 Na wale vijana waliokua pamoja naye wakamwambia, wakasema, Uwaambie hivi watu wale waliosema nawe, wakinena, Baba yako alilifanya zito kongwa letu, lakini wewe tufanyie jepesi; uwaambie hivi, Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno cha baba yangu.
 
CCM ni majambazi
 
Solution ni moja tu. Watanganyika tuandamane kudai nchi yetu Tanganyika na kuvunja huu muunganano anauza rasilimali zetu kwa kivuli cha muungano. Tukivunja muungano samia hatakuwa raisi wetu na hiyo mikataba waliyoingia itaangaliwa upya maana hawakuingia mkataba na Tanganyika kwa hiyo kila kitu kitaanza upya. Tusipofanya hivo tutaishia kulalamika lakini hakuna kitakachobadilika. Najua watatuua wengi lakini hakuna njia nyingine ya ukombozi wa taifa letu na wao hawawezi kutuachia kirahisi maana wameshajimilikisha sio rahisi kukubali kupokonywa tonge mdomon. Lakini hatuna budi kufanya hivo kwa maslahi ya taifa letu na vizazi vijavyo. Haya yaliyofanywa Tanganyika sidhan kawa ingekuwa zanzibar wangekubali.
 
 
Wamasai ni nani nchi hii hata wadekezwe? Hii nchi ina jamii zaidi ya 125 huko. Acheni kushabikia ujinga.
 
Mkuu Wa Mkoa Yuko Wapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…