Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio muoga?Tatizo lenu wamasai mmezidi uoga na kusalitiana. Mgawanyiko wenu ndio udhaifu wenu, muwe wamoja katika kutetea haki yenu.
Kabisa MkuuHii nchi tukifanya masihara tutajikuta tumeuzwa, wenzetu wamechukua chao wanaishi monaco huko.
Dunia Sasa IMEJUWA ....ukaburuweusiMaasai hakika wamechoka na mambo haya...leo wameamua kuingia barabarani,.wanaifunga njia ya Ngorongoro.Wageni wanaokwenda au kutoka Serengeti leo watapata changamoto ..
Kuanzia 2026 utauzwaSiku mlima kilimanjaro ukipigwa Bei ndio wachaga wataamka
Aisee ndio tumefika huko kweli?Matumanini gani? Ile ni Aridhi ya Waarabu kwa sasa na unatakiwa kuomba ruhusa kwao ili uende pale, usione bado raia wanapita kuelekea Serengeti na Musoma ukadhani ni eneo la nchi.
CCM ni majambaziHii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.
Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
View attachment 3073146
Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.
View attachment 3073147
Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.
View attachment 3073151
Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.
View attachment 3073152
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
View attachment 3073154
Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana
Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.
Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
View attachment 3073146
Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.
View attachment 3073147
Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.
View attachment 3073151
Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.
View attachment 3073152
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
View attachment 3073154
Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana
Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Mkuu Wa Mkoa Yuko Wapi!?View attachment 3073208
Haya ni baadhi ya mabango yenye jumbe mbalimbali ambazo zimetolewa na wakazi tarafa ya Ngorongoro ambao wanafanya maandamano ya amani kupinga kile wananchodai ni ukiukwahi wa Haki za Binadamu dhidi yao.
Wakazi hao wa jamii ya kifugaji ya Wamasai wanaandamana hii leo 18 Aug 2024 kupinga kile wanachodai kuchoshwa na vitendo vya ukiukwaji wa Haki dhidi yao katika Nyanja mbalimbali ikiwemo kunyimwa huduma za maendeleo ya jamii .
View attachment 3073215
Wakazi hao wanadai kuwa wamevumilia kwa muda mrefu ukiukwaji wa Haki za Binadamu ikiwemo kusitishwa na kuzoroteshewa kwa huduma mbalimbali zikiwemo za afya, elimu na hata miradi mingine ya maendeleo.
Mbali na hivyo wanadai kuwa kilichowashtua zaidi ni kuondolewa kwa tarafa hiyo katika orodha ya vituo vinavyotumika katika maboresho ya daftari la mpiga kura jambo linalowaashiria kuwa watakosa Haki ya kushiriki chaguzi ikiwemo wa serikali za mitaa mwaka huu 2024 na hata ule mkuu wa 2025.
View attachment 3073210
View attachment 3073213
Ni muda sasa tangu wakazi hao watoe malalmiko yao juu ya kutotendewa Haki tangu kulipoanza zoezi la kuwahamisha kutoka tarafa hiyo kuelekea Kijiji cha Msomera mkoani Tanga.
Source: Watetezi tv
Wamasai ni nani nchi hii hata wadekezwe? Hii nchi ina jamii zaidi ya 125 huko. Acheni kushabikia ujinga.