Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Armed Rebellion huanza hivi hivi kama Kongo ya Mashariki.

Maadui zetu wanaweza kupitia hapo kwenye mgogoro huo.

Mnakumbuka Wanyamulenge waliponyimwa Haki zao za kiraia na kuanza kuuwawa kunyanyaswa na kupokwa Mifugo yao?!

Viongozi mliolewa Madaraka tafadhali msituharibie usalama wa Nchi.
 
Wasio na nia njema wameanza kutumia hoja za waarabu na uarabu kumshambulia Rais wa nchi.....

Ni mipango mahsusi....

Mipango kama hii si ya kuichekea hata kidogo......

#Nchi Kwanza[emoji7]
Kwahyo ww unatakaje!? K
 
Hata huyo mmasai sio mbantu,mmasai anatokea huko huko nchi za kiarabu.Angalia utamaduni wa mmasai nq muarabu uko sawa tu.Kuanzia mavazi,kuvaa shuka na rubega,kutembea na visu ,fombo,bakora.Vyakula vyao ni nyama na maziwa.Wote ni wafugaji wa wanyama sio wakulima.Mpaka lugha zao zinafanana.
 
Nakumbuka Mstaf General Venance Mabeyo ndio Mwenyekiti ya Board ya Wazamini wa Ngorongoro conservation Authority.

I hope hakitaharibika kitu.
 
Tuangalie hapa mzee Kikwete aliwahi kusema
 

Attachments

  • GVQM2GCX0AAuox_.jpeg
    41.4 KB · Views: 1
Ndio! Wao ni spesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…