Mwambie huyo unaemtetea, akikuwa akazae anaohitajiNi wazazi wawili, mke ni muhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vozuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwengine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa.
Mtoto walienae ni moja tu yupo darasa la saba.
Wazazi ni wasomi na wapo focussed sana na career zao, mtoto wanamjali sana katika masomo yupo moja ya shule poa sana, ni ya day ila ada yake imechangamka.
lakini je hii ni sawa kwa mtoto wa kiafrika kutokua na kaka, dada ama wadogo zake ?
Kuzaa zaa sana ni tabia za Maskini.. huoni hata kina Bill Clinton na mahela yao yote wana mtoto mmoja?? George Bush wawili, Barack Obama wawili n.k. Matajiri wanatafuta pesa kwa kizazi kijacho hayo mambo ya kila mtoto atakuja na ridhiki yake ni ya zama za ujima.
Elon Musk anao karibia 10 kama sikosei na ni kati ya matajiri top 3 duniani.Kuzaa zaa sana ni tabia za Maskini.. huoni hata kina Bill Clinton na mahela yao yote wana mtoto mmoja?? George Bush wawili, Barack Obama wawili n.k. Matajiri wanatafuta pesa kwa kizazi kijacho hayo mambo ya kila mtoto atakuja na ridhiki yake ni ya zama za ujima.
Kweli kabisa..maskini wanafyatua sio poaMaskin wanapenda kuzaaa sana na kulea watoto tabu
KabisaKuzaa zaa sana ni tabia za Maskini.. huoni hata kina Bill Clinton na mahela yao yote wana mtoto mmoja?? George Bush wawili, Barack Obama wawili n.k. Matajiri wanatafuta pesa kwa kizazi kijacho hayo mambo ya kila mtoto atakuja na ridhiki yake ni ya zama za ujima.
Kuzaa zaa sana ni tabia za Maskini.. huoni hata kina Bill Clinton na mahela yao yote wana mtoto mmoja?? George Bush wawili, Barack Obama wawili n.k. Matajiri wanatafuta pesa kwa kizazi kijacho hayo mambo ya kila mtoto atakuja na ridhiki yake ni ya zama za ujima.
lakini je hii ni sawa kwa mtoto wa kiafrika kutokua na kaka, dada ama wadogo zake ?
Swali zuri sana ajabu utajibiwa kwa jazba [emoji23][emoji23]Huyo mtoto ndo atawalea wenzake?