Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

Ila JF ya kipindi hiki..... ina viumbe !
Mambo ya familia ya mtu ni ya kujadiliwa na "Great Thinkers'.
Baada ya huu Mjadala mtamuandikia barua KUWA WAONGEZE WATOTO AU ?
TUNAKOELEKEA......
 
Swala La kuzaa au kupanga ni watoto wangapi wazae jambo hilo linapaswa kujadiliwa na wanandoa wenyewe.sasa nashangaa wewe ni nani paka uwapangie watu tena wanandoa idadi ya watoto wa kuzaa? Ebu tubadilikeni ndugu zanguni
 
Mtoto mmoja anatosha Sana , Dunia ya Sasa hivi inahitaji watu wachache walio Bora zaidi na sio kuwa na watoto wengi ambao ukifa tu wanageuzwa watumwa viwandani na kuanza kulipwa ujira Mdogo au wanakuwa michipuko
 
Back
Top Bottom