Wamenimalizia pesa zote za semina

Wamenimalizia pesa zote za semina

kwao hawajabakiza mabaki 😂😂 na mie nikaoe
Aaaah ana dada yake kamaliza chuo mwaka huu ila yuko traumatized na maisha alopitia.
Unajua watu wa kule wanapitia hardship sana wengi historia zao daah masikitiko.
Sasa mtu kama huyo unahitajika uwe mpole zaidi na mstahamilivu zaidi kwake kumvumilia baadhi ya vitu.
 
Unajua hatutofautiani mkuu!?
Nina mke wa pili mshangazi wa miaka 42 kimo hiki hiki.
😂😂😂😂😂Yupo Morogoro Mafisa hapo toto la kizaramo.
Mimi sasa ndio kwanza naingia 30.
Unafaidi sana.. na home una mama la mama la hatari.. kula raha duniani ndio huko sasa
 
Aaaah ana dada yake kamaliza chuo mwaka huu ila yuko traumatized na maisha alopitia.
Unajua watu wa kule wanapitia hardship sana wengi historia zao daah masikitiko.
Sasa mtu kama huyo unahitajika uwe mpole zaidi na mstahamilivu zaidi kwake kumvumilia baadhi ya vitu.
Navumia mkuu, nimeisha kaa na wanawake vichaa... kikubwa awe mzuri sana na awe kakidhi vigezo.. mengine yanavumilila.. raha sana uwe na mwanamke mzuri sana ndani ya nyumba huwa inasaidia mengi sana
 
Navumia mkuu, nimeisha kaa na wanawake vichaa... kikubwa awe mzuri sana na awe kakidhi vigezo.. mengine yanavumilila.. raha sana uwe na mwanamke mzuri sana ndani ya nyumba huwa inasaidia mengi sana
Yani sio kwamba ana tabia mbovu ambazo zinasumbua hapana.
Yani maisha walopitia yamewadumaza kisaikolojia.
Kwahiyo unatakiwa uende nae taratibu.Kukosea kwao kwa kurudiarudia ni kawaida pia wana uoga fulani hivi wa kujihisi wako unsafe kwa watu.
Yote ni harka za maisha walopitia.
 
huyo rahisi kuishi nae, mie nilitaka kwenda Sambaru kuchukua chuma
 
Dodoma kuna watoto wazuri asikwambie mtu. Ilivyobaki Laki 1 nanusu ndiyo akili ikarejea. Nimeambiwa kipindi cha Bunge ndiyo mambo yanakuwa hivi. Hili nalo mkalitizame.
Usiwe na wasiwasi mkuu wewe endelea kuliwa ila kuwa makini usiliwe vyote ukaja ishia kuliwa visivyoliwa.
 
Nakukumbusha utakae muona ana kipini puani upande wa kushoto wa pua yake mchukue huyo huko unaacha mpaka hio 150 yote utarudi na mbupu zako tu hua wanaangalia na macho ya kukata roho km wanakufakufa hivi
Hahahaa huyo binti anaitwa Z... ni noma saana ndugu
 
Back
Top Bottom