Wamenimalizia pesa zote za semina

Wamenimalizia pesa zote za semina

Wale watoto ukiwavuta na vimishkaki na soda huku unampigia swaga za nitakupeleka Darusalaame imeisha hiyo.
Ila shida wadada wa Singida kujipodoa hawajui wako rough sana wengi wao.
Asa sijui ni ugumu wa maisha au vipi!?
Ugumu wa maisha na ni washamba.
 
Ulihifadhi upwiru hatimae wamekutoa mkuu.

Heri shari kamili kuliko nusu shari, malizia tu na hako kalaki.
 
Yani sio kwamba ana tabia mbovu ambazo zinasumbua hapana.
Yani maisha walopitia yamewadumaza kisaikolojia.
Kwahiyo unatakiwa uende nae taratibu.Kukosea kwao kwa kurudiarudia ni kawaida pia wana uoga fulani hivi wa kujihisi wako unsafe kwa watu.
Yote ni harka za maisha walopitia.
Unazungumzia wairak au wanyaturu?
 
Back
Top Bottom