Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Wanawake wa kihangaza wamejazia kuliko wanyaturu na wairaq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa international affairs kumbe na huku upo?Sijai ona mnyaturu flat kaka.
😂😂😂😂Toka nifike salanda kila mnyaturu nayemgusa ni nyash.
Sema tu ni hawajatulia kimaadili ni viruka njia.
Wachaga ni exceptional kama ingekua wanyama wanapewa makabila basi nyoka wangekua wachaga😂😂😂
Mbeya hamna wanawake Warembo mkuu? Mi mwenyewe mnyakyusa mkuu, wanawake wa kinyakyusa wamejaliwa tu matakor ila sura ni kavu mno...Mbeya???? Kigoma????
You cant be serious 🤣🤣🤣🤣
Ngoja nimtag Mtu hapa
Kaka shikamoo🙏🙏🙏🙏.Mzee wa international affairs kumbe na huku upo?
Wameru wazuri wamechanganya mbegu wale.Kwa asili ya arusha wameru ni wazuri kama wale wa kigali....
Kumbuka wanaume wengi wanapenda matakooo 😅😅😅Mbeya hamna wanawake Warembo mkuu? Mi mwenyewe mnyakyusa mkuu, wanawake wa kinyakyusa wamejaliwa tu matakor ila sura ni kavu mno...
Kiufupi wanachuo ni Malaya sana sijui ndio course work zenyewe au vipiDodoma kuna watoto wazuri asikwambie mtu. Ilivyobaki Laki 1 nanusu ndiyo akili ikarejea. Nimeambiwa kipindi cha Bunge ndiyo mambo yanakuwa hivi. Hili nalo mkalitizame.
Tanzania kuna kila aina ya wanawake, ni wewe tu una prefer yupi..Wameru wazuri wamechanganya mbegu wale.
Tena na visura vyao vimekaa ki innocent hadi raha.
Ila ni silent killers hatari.
Wameru ni wachagga wamachame wa kisiri siri huwa wakiongea nawasikia.........😅😅😅Wameru wazuri wamechanganya mbegu wale.
Tena na visura vyao vimekaa ki innocent hadi raha.
Ila ni silent killers hatari.
Ugumu wa maisha, vishawishi.Kiufupi wanachuo ni Malaya sana sijui ndio course work zenyewe au vipi
Njaa kaka na kutaka maisha wasiyoyamudu.Kiufupi wanachuo ni Malaya sana sijui ndio course work zenyewe au vipi
KweliNjaa kaka na kutaka maisha wasiyoyamudu.
Mzazi anampa hela bajeti ya elfu 5 kwa siku yeye atataka bajeti ya elfu 15-20 kwa siku.
Unadhani atakosa kudanga!???
Wadada wengi wa chuo haswa ambao wametoka mkoa mwingine aisee wanadanga sana.
Afadhali wale ambao wanasoma mkoa huo huo kidogo nafuu.
pole pole mkuu dada zangu hawawezi kuwa nyoka na mtoto wangu wakike awe nyoka 😅😅😅😅Sijai ona mnyaturu flat kaka.
😂😂😂😂Toka nifike salanda kila mnyaturu nayemgusa ni nyash.
Sema tu ni hawajatulia kimaadili ni viruka njia.
Wachaga ni exceptional kama ingekua wanyama wanapewa makabila basi nyoka wangekua wachaga😂😂😂
Ugumu gani wanapewa boom? Huko kwao Vijijini walikotoka walikuwa na maisha rahisi? Ulimbukeni tuu wa umalayaUgumu wa maisha, vishawishi.
wachaga wa sasaiv sio kama wale wa zamani miaka ya 47, sasaiv watu wamechanganya damu unakuta baba mchaga mama mmeru au muiraq, mtoto anaezaliwa hapo ni noma..pole pole mkuu dada zangu hawawezi kuwa nyoka na mtoto wangu wakike awe nyoka 😅😅😅😅
Unahitaji nidham ya hali ya juu kukwepa haya mambokatika mtego aliyetuumba alituwekea basi ni kutuumbia wanawake. mtego mgumu sana
Ukwepe tena wakati dhumuni la kuwaweka ni ili vidume mburudike....wee u ataka uwe mzee wa nyetoUnahitaji nidham ya hali ya juu kukwepa haya mambo
Mnatuchangaja sasa😂Umefika Korogwe msambiazi na Bumbuli!?
Ukutane na wanawake wa kigunya,wasmabaa wakilindi!?
Booob wana matyaakoooo hao wa Mbeya hawaoni ndani😂😂.
Embu kazunguke tena mkuu.
Pia kuna wabondei wa Usambara na mashewa yake kawaone mkuu.
Hao wanyaturu ulokutana nao isije ikawa umekutana na wanyisanzu ukasema wanyaturu.
Maana wanyisanzu wanataka kufanania na wanyaturu na wao pia wapo Singida vile vile.