Wamenimalizia pesa zote za semina

Mzee wa international affairs kumbe na huku upo?
 
Mbeya hamna wanawake Warembo mkuu? Mi mwenyewe mnyakyusa mkuu, wanawake wa kinyakyusa wamejaliwa tu matakor ila sura ni kavu mno...
Kumbuka wanaume wengi wanapenda matakooo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Dodoma kuna watoto wazuri asikwambie mtu. Ilivyobaki Laki 1 nanusu ndiyo akili ikarejea. Nimeambiwa kipindi cha Bunge ndiyo mambo yanakuwa hivi. Hili nalo mkalitizame.
Kiufupi wanachuo ni Malaya sana sijui ndio course work zenyewe au vipi
 
Wameru wazuri wamechanganya mbegu wale.
Tena na visura vyao vimekaa ki innocent hadi raha.
Ila ni silent killers hatari.
Tanzania kuna kila aina ya wanawake, ni wewe tu una prefer yupi..
Sio kama Rwanda nchi nzima wanafanana.
 
Wameru wazuri wamechanganya mbegu wale.
Tena na visura vyao vimekaa ki innocent hadi raha.
Ila ni silent killers hatari.
Wameru ni wachagga wamachame wa kisiri siri huwa wakiongea nawasikia.........πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kiufupi wanachuo ni Malaya sana sijui ndio course work zenyewe au vipi
Njaa kaka na kutaka maisha wasiyoyamudu.
Mzazi anampa hela bajeti ya elfu 5 kwa siku yeye atataka bajeti ya elfu 15-20 kwa siku.
Unadhani atakosa kudanga!???
Wadada wengi wa chuo haswa ambao wametoka mkoa mwingine aisee wanadanga sana.
Afadhali wale ambao wanasoma mkoa huo huo kidogo nafuu.
 
Kweli
 
pole pole mkuu dada zangu hawawezi kuwa nyoka na mtoto wangu wakike awe nyoka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
pole pole mkuu dada zangu hawawezi kuwa nyoka na mtoto wangu wakike awe nyoka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
wachaga wa sasaiv sio kama wale wa zamani miaka ya 47, sasaiv watu wamechanganya damu unakuta baba mchaga mama mmeru au muiraq, mtoto anaezaliwa hapo ni noma..

kuna pisi moja iyo baba mpare mama muiraq(mama mwenyew baba yake alikua muiraq na mama yake mbondei) yan ukimuona amebalance kila sehemu ya mwili wake..kazi kweli kweli
 
Oyaaa nipo regency hapa warembo wa singidani njooni basi
 
Mnatuchangaja sasaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…