Wameshindwa kukusanya kodi ili watengeneze barabara, sasa wanampango wa kuanzisha tozo za barabara.

Misaada gani unaongelea, kuna mzungu anatoa pesa yake kwa majizi ya kura? Uzeni zile raslimali mnazohadaa wananchi kuwa mnazo hadi wazungu wanawaonea wivu.
 
Hii tozo itakuwa double taxation tayari ipo kwenye mafuta!
View attachment 3700470View attachment 3700471
tozo kwenye miundombinu ni jambo la kawaida kote ulimwenguni na Tanzania haitakua ya kwanza kutoza kodi hiyo.

Ni muhimu zaidi waTanzania wote kujifunga mkaja na kulipa tozo hiyo kwa maendeleo ya miundombinu ya na maendeleo ya taifa letu na kujitegemea kiuchumi πŸ’
 
 
Nyerere aliwahi kusema "serikali iliyoshindwa kukusanya Kodi ni serikali iliyofeli". Wanafanya wao biashara za kifisadi wanashindwa kujitoza Kodi na mafisadi wenzao wanaamua kulimimbikizia mizigo raia.
 
Wajenge express way ndo waweke hizo tozo, kuwe na mbadala wa barabara za kawaida ambazo hulipii
 
Gentleman,
waTanzania wazalendo,
tupo tayari kubanana wwe kwa wenyewe, kodi na tozo mbalimbali ili kujenga taifa letu wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani.

Go ahead waziri Masanja we are ready for that move 🀝
Mkuu labda unieleweshe kwanza, hiyo tozo itakuwa tofauti na ile inayotozwa kwenye mafuta?
 
Mkuu labda unieleweshe kwanza, hiyo tozo itakuwa tofauti na ile inayotozwa kwenye mafuta?
Kwa wakati muafaka,
itafafanuliwa kwa kina zaidi na waziri mwenye dhamana,

but hii inalenga zaidi wamiliki wa vyombo vya usafiri, mathalani magari, bajaji, bodaboda n.k ambao ndio hasa hutumia barabara zilizijengwa kwa gharama kubwa na kwahivyo, tozo hizo zitatumika kukarabati barabara hizo zinapoharibika lakini pia kuzijenga upya.

Tumechelewa sana but lazima tuanze sana. Tujifunge mkaja my friends, ladies and gentlemen plz πŸ’
 
Magari yenyewe yanaingia kwa kodi kubwa harafu mnataka kuyapiga Tozo kupita kwenye hizo bara bara huku ninyi mkizunguka na V8 bure ni upuuzi huo kuwa na Tozo Tozo harafu bara bara zenyewe mbovu tu.
 
Tanzania hata wakitaka tuchangie kodi bila kupata huduma yeyote hakuna kitu watafanya majambazi tu hayo unalipia gari kodi 65m harafu unasema ulipie toll road ni Nchi gani ina kodi kubwa za magari kama si Tanzania kwa nini hiyo hiyo kodi ya magari kama wameshindwa kupunguza wasitenge kiasi iwe kwa ajili ya bara bara..
Kwenye kuingiza magari kuna Railway Lev ina % zake ni Railway ipi wanakarabati hawa wezi zaidi ya kuongeza kodi za Ulaya huku hakuna kitu wanafanya hao majizi..
 
You kill with ease, lakini auae kwa upanga, atauwawa na upanga wake mwenyewe.
Mark my words.
those are just hot air pushed by your emotions and mayhem. In politics we don't care such useless narratives gentleman πŸ’
 
Nchi ina parking levy kwa kila gari linaloingia Mjini bado mafuta yaani wao Madini na rasilimali za Nchi sio kwa faida ya Watanzania wanaamua kuwakamua moja kwa moja wakishindwa waweke kapu tuwe tunachangia hiyo kodi maana hawana mawazo yeyote zaidi ya kuiba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…