Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .