Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Hakuna namna ambayo Mitaala iliyoboreshwa itaathiri shule za English medium... Sana sana English medium schools zina nafasi kubwa ya kutekeleza Mitaala iliyoboreshwa kuliko Shule za serikali...
Ukisoma vizuri mabadiriko ya Mitaala iliyoboreshwa Shule za sekondari ndizo zimeonekana kutakiwa kutekeleza Mitaala ya Ufundi au Elimu ya jumla kwa vitendo zaidi...

Tafuteni sababu nyingine za kushindwa kuwalipia ada na kuwahamishia watoto wenu Shule za kata...
Wazazi wa Ems husomesha watoto shule hizo ili kuwaandaa na sekondari Sasa sekondari ndio watoto wanaanza kusomea kufuga nyuki na kupiga magitaa.

Wazazi wameona ni ujinga na kupoteza hela zao bure.
 
Ukata ukizidi sana ndio wanawahamishia Kayumba,uchumi kama upo stable siwezi kumpeleka shimoni mtoto wangu.

Kwa kuwa.uchumi upo ICU hakuna namna lazima wawahamishie huko ili mtoto asikose vyote
Wenye uchumi stable wanasomesha watoto shule za International ambazo zinafuata mtaala wa Cambridge.

Wewe unaesomesha Ems ada milioni 2 ni masikini sawa na anae somesha Kayumba ila tofauti ni kwamba wewe unalipishwa kitu ambacho mwenzako anapewa bure.

So hapo fala unakuwa Wewe. Demu yule yule mie ananipa bure ila wewe mpaka umpe hela
 
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .

Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.

Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...

Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.

Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Wengi husingizia mitaala mipya ila ukweli uchjmi umeumba walikua wanatafuta kizinginzio wawaondowe huko, take my words ni wanasiasa na wafanya biashara wakibwa ndo watabakiza watoto EMs wage earners wanaumia sanaa 2m to 4m kwa kila mwaka sio mchezo.
 
Nonsense zimeanza
Tatizo unawaonea wivu wazazi wanaosomesha Kayumba. 🤣🤣🤣🤣wenzako wanasomesha bila stress wewe unaenda kukopa vikoba watoto wasome halafu ndio umetoka kulipa ada Jumamosi lazima ujisikie Vibaya.

Anyways bado hujachelewa.

Haya Sasa twende Kazi, kimbia haraka Sana nenda shule ya EM kamtoe mtoto wako mrudishe Kayumba. You will thank me later.

🙏🙏🙏🙏🙏
 
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .

Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.

Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...

Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.

Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .

hizi ni propaganda za kupotezea watu muda.....
Kwa taarifa yako, wanaoweza kwenda na kasi ya mabadiliko ya mtaala ni hao hao EMS kwa kuwa Shule ndio ina ajiri yenyewe hivyo shule zinauwezo wa kuajiri waalimu wenye sifa zinazotakiwa kufundisha masomo mapya....
Hapa tunaongelea kasi ya mabadiliko.....
 
Hahaha
Kataa ndoa,
FB_IMG_1737442523907.jpg

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao
Okay.....
kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Kwahio hakuna faida ya elimu alafu wajifunze hayo unayosema wajifunze ? Yaani ni kama unasema sababu nyumba cha maana ni kuta nne sakafu na paa basi achana na msingi jenga nyumba hewani....

Mimi nauliza na naombeni mnijibu, usahili wa ajira iwe sekta binafsi ama serikalini zinafanywa Kwa kutumia lugha ya malkia na tunaambiwa kwenye mtaala mpya kwenye shule za serikali lugha ya kingereza itakuwa kama somo na sio lugha ya kufundishia je wanawaandaa watoto wetu waje kuongea Nini kwenye sahili za kazi huko mbeleni?
 
Wengi husingizia mitaala mipya ila ukweli uchjmi umeumba walikua wanatafuta kizinginzio wawaondowe huko, take my words ni wanasiasa na wafanya biashara wakibwa ndo watabakiza watoto EMs wage earners wanaumia sanaa 2m to 4m kwa kila mwaka sio mchezo.
100% Fact kila siku nawaambiaga hapa msiige kunya kwa Tembo mtapasuka msamba.

Wenzenu matajiri wafanya biashara wanasomesha Kwa hela za ukwepaji Kodi na magendo.

Wanasiasa wanasomesha Kwa hela za ufisadi na upigaji.

Na wanasomesha shule Kweli Kweli za kufuata mtaala wa Cambridge ambazo wanalipa Dola elfu 30.

We mwenzangu na Mimi hata kiwanja huna unapeleka vihela vyako Kwa Mr.Mugetta in the name of School fee 🤣🤣🤣 Ni Akili au matope?

N.b: Ishu Sio ukata Kwa sababu masikini wa maarifa wa kiafrika siku zote ndio huwa wana gharamia vitu vya gharama ambavyo vipo nje ya uwezo Wao.

Ishu ya mtaala imefanya kuwa motivate tu
 
Wenye uchumi stable wanasomesha watoto shule za International ambazo zinafuata mtaala wa Cambridge.

Wewe unaesomesha Ems ada milioni 2 ni masikini sawa na anae somesha Kayumba ila tofauti ni kwamba wewe unalipishwa kitu ambacho mwenzako anapewa bure.

So hapo fala unakuwa Wewe. Demu yule yule mie ananipa bure ila wewe mpaka umpe hela
Kuna mahali unaumia ukiona mtu anahangaika kusomesha EMs? Kama ndivyo, nini kinafanya uumie mtu mwingine kusomesha watoto anapojisikia?

Vipi wale wanaotumia $15m kupeleka watoto nje kusoma?

Mkuu, haya mambo ni very personal. Sijui kwa nini mnaumia.
 
Back
Top Bottom