Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Mwanangu akimaliza darasa la saba anaanza kushinda dukani kwangu
Usisubiri amalize, hata sasa akitoka shuleni siku moja moja awe anashinda Dukani.

Mpe muda mwingi wa ku socialse na wenzake kwenye michezo, muda mwingine awe dukani.

Limit muda wa home work, hakuna kutumia muda mwingi wa nyumbani kufanya home work, achana na huo utaahira.

Mpe ratiba, siku ya kwenda kucheza, siku za kushinda Dukani na siku za kufanya shughuli nyingine za nyumbani kama kusaidia kupika ama kufanya shughuli za nyumbani, kufua(hands or machine) nk.

Mjenge mwanao kwa maisha na sio kwa matokeo ya shule, mpe skills, anza kumpa skills za maisha mapema.
 
Mtaala uliopita shule ya msingi kingereza kilikuwa somo na sekondari kilikuwa cha kufundishia na still kwenye interview watu Wana struggle sembuse hii ya sasa?

Aisee una vibrate in a very low frequency.

Ngoja nikusanue mdogo wangu. Kwa dunia ya Sasa ni rahisi mno kupata hela Kuliko kupata ajira Kwa sababu ajira hazipo ila hela zipo Kazi kwako usuke au unyoe

Motivation speakers kama nyinyi nawajua vyema, eti "usiwaze interview " unaweza Kuta uko na mavyeti Yako unazunguka mjini kusaka ajira.
Mimi Sio kilaza mkuu . Nime graduate 2011 ila sijui hata kuandika barua ya kuomba Kazi mi najua kuandika cheque tu utadhani nimetoka Czechoslovakia
 
Kilomo ufugaji ujasilia mali bila elimu?
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
L
 
Kwa sababu naona wanapigwa . Hawajui wanacho kifanya. Naumia kama vile nitakavyo umia nikimkuta mtoto wako wa kiume anafanya ushoga ingawa wewe sikujui.

Naumia kama Yesu alivyo umia kumuona Lazaro amekufa kabla ya wakati wake akaenda kumfufua. All because am a generous person

Hao wapo sahihi kabisa Kwa sababu uwezo wanao na akili wanazo. They know what they are doing.

Hii Sio ideology ya mwafrika. Your problem is my problem.

Hata baba ako akifa hainihusu cause it's personal umefiwa wewe Sio Mimi but nitakuja kwenye msiba.
Wanapigwa? Kwani Tanzania tunapigwa kwenye mangapi, mbona hili linakufanya utumie airtime yako kubwa sana kulipigania. Kwa nini usipiganie ufisadi, wizi wa mali za umma, rushwa nk ndani ya serikali?

Kumpeleka tu mtoto sehemu wanakaa 30-40 kwa nafasi ni tofauti sana na kwenda sehemu wanakaa 100+, yaani hilo tu achana na quality ya elimu, hilo tu linatosha kuiona tofauti. Kama kwako unadhani watu wanafuata elimu ya darasani pekee, bado upo nyuma sana. Watu wanaangalia mengi kuanzia usafi, ustaarabu, kujifunza kupangilia mambo, namna ya kuongea na watu nk. Achana na elimu ya darasani ambayo naona wewe unaishipalia.

Swala lankusomesha shule ya gharama haiangalii uwezo, but rather nia ya mtu. Wazazi walitusomesha shule zamani hizo kwa kulima, kwa vibarua. Wao hawakuona wanapoteza?

Tatizo unadhani kumpa mtoto elimu stahiki ni utumwa.
 
Usisubiri amalize, hata sasa akitoka shuleni siku moja moja awe anashinda Dukani.

Mpe muda mwingi wa ku socialse na wenzake kwenye michezo, muda mwingine awe dukani.

Limit muda wa home work, hakuna kutumia muda mwingi wa nyumbani kufanya home work, achana na huo utaahira.

Mpe ratiba, siku ya kwenda kucheza, siku za kushinda Dukani na siku za kufanya shughuli nyingine za nyumbani kama kusaidia kupika ama kufanya shughuli za nyumbani, kufua(hands or machine) nk.

Mjenge mwanao kwa maisha na sio kwa matokeo ya shule, mpe skills, anza kumpa skills za maisha mapema.
100%. Fact
 
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Kilimo tunachokifanya hapa TZ hakitutoshelezi kwa sababu ya uduni wa elimu.
Elimu ingetolewa kisawasawa na kuzalisha wataalamu kama Waisraeli, hii ardhi ya TZ inatosha kulisha Afrika nzima.

Ujasiriamali unaouzungumzia hapa ni kuuza vitumbua, lakini hakuna biashara kubwa inayoendeshwa bila wataalamu walioenda shule.

Ungesoma shule inayotoa elimu bora usingeibeza elimu!
 
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .

Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.

Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...

Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.

Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Labda wewe ndio umeshindwa...mimi wangu wanne wote wako private na ndiko kwenye elimu bora
 
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Madaktari na marubani watatoka kwenye ufugaji na Kilimo?
Vipi wanasheria?
 
Wanapigwa? Kwani Tanzania tunapigwa kwenye mangapi, mbona hili linakufanya utumie airtime yako kubwa sana kulipigania. Kwa nini usipiganie ufisadi, wizi wa mali za umma, rushwa nk ndani ya serikali?

Kumpeleka tu mtoto sehemu wanakaa 30-40 kwa nafasi ni tofauti sana na kwenda sehemu wanakaa 100+, yaani hilo tu achana na quality ya elimu, hilo tu linatosha kuiona tofauti. Kama kwako unadhani watu wanafuata elimu ya darasani pekee, bado upo nyuma sana. Watu wanaangalia mengi kuanzia usafi, ustaarabu, kujifunza kupangilia mambo, namna ya kuongea na watu nk. Achana na elimu ya darasani ambayo naona wewe unaishipalia.

Ndio maana nasema wazazi wengi wanao peleka watoto Ems hawajielewi. You guys have got a very little understanding about children psychology.

Watoto wana enjoy Zaidi wanapokuwa wengi na Sio wachache Kwa sababu watoto hupenda michezo na huenda shule Kwa ajili ya michezo so wanapokuwa watoto wengi na michezo inakuwa mingi.

Watoto wanatakiwa kuenjoy their childhood to the fullest.

Unampeleka mtoto wako kwenye shule ambayo darasa moja Lina wanafunzi wanane do u hate your children to that extent?

Watoto hujifunza Zaidi kupitia observation. Ku observe watoto wenzao nakadhalika. This can only be offered in Kayumba Schools
Swala lankusomesha shule ya gharama haiangalii uwezo, but rather nia ya mtu. Wazazi walitusomesha shule zamani hizo kwa kulima, kwa vibarua. Wao hawakuona wanapoteza?

Tatizo unadhani kumpa mtoto elimu stahiki ni utumwa.

Elimu stahiki ni Nini?
 
Wazazi wanao somesha Ems asilimia kubwa ni masikini, ukata wapo nao siku zote. Ni kwamba wamefunguka tu akili
watanzania wanapenda kujikuza . kuweza ku afford gharama za EMs sio wewe ni tajiri bhana sema una uhaueni wa maisha. na asilimia 99.99% ya watanzania ni masikini matajiri wako abroad ndo mana we are third world countries. KUENI KIAKILI. et oooh wanaowatoa watoto wao EMs ni maskini. shenzi type mnawajua matajiri nyie?? LIKUD nisaidie kuwaelimisha hawa wa(t)zanganyika.
 
Back
Top Bottom