LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kwani si umeambiwa kiingereza kitatumika kama somo. Halafu mkuu inaonekana wewe mind yako inakwambia Sasa hivi ni mwaka 1985. Yani bado unawaza tu kuhusu interview?Mimi nauliza na naombeni mnijibu, usahili wa ajira iwe sekta binafsi ama serikalini zinafanywa Kwa kutumia lugha ya malkia na tunaambiwa kwenye mtaala mpya kwenye shule za serikali lugha ya kingereza itakuwa kama somo na sio lugha ya kufundishia je wanawaandaa watoto wetu waje kuongea Nini kwenye sahili za kazi huko mbeleni?
Wake up bro