LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajitambuiwatanzania wanapenda kujikuza . kuweza ku afford gharama za EMs sio wewe ni tajiri bhana sema una uhaueni wa maisha. na asilimia 99.99% ya watanzania ni masikini matajiri wako abroad ndo mana we are third world countries. KUENI KIAKILI. et oooh wanaowatoa watoto wao EMs ni maskini. shenzi type mnawajua matajiri nyie?? LIKUD nisaidie kuwaelimisha hawa wa(t)zanganyika.
Unasomesha mtoto Ems?Sababu zile zile ambazo haizielewi kila siku
Kwani wewe una hela mkuu?Watu mkikosa hela hua mnakuja humu na justifications za ajabu sana aiseeee...🤨
ChaiHakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Kuna kitu unataka kukidhihirisha, bado sijajua ni kitu gani hasa. Ila ni ngumu sana watu kuingia kwenye hiyo bandwagon unayojaribu kuitengeneza, very few will concur with you.Ndio maana nasema wazazi wengi wanao peleka watoto Ems hawajielewi. You guys have got a very little understanding about children psychology.
Watoto wana enjoy Zaidi wanapokuwa wengi na Sio wachache Kwa sababu watoto hupenda michezo na huenda shule Kwa ajili ya michezo so wanapokuwa watoto wengi na michezo inakuwa mingi.
Watoto wanatakiwa kuenjoy their childhood to the fullest.
Unampeleka mtoto wako kwenye shule ambayo darasa moja Lina wanafunzi wanane do u hate your children to that extent?
Watoto hujifunza Zaidi kupitia observation. Ku observe watoto wenzao nakadhalika. This can only be offered in Kayumba Schools
Elimu stahiki ni Nini?
Utakuwa umechelewa sana mkuuMwanangu akimaliza darasa la saba anaanza kushinda dukani kwangu
Maskini huwa hamuendelei kwa sababu mnapenda kuona wengine wakianguka kimafanikio.Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu.
Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya wazazi kwenye shule za Kayumba wakiomba nafasi za kuwahamishia watoto Wao shule za Kayumba wakiwatoa Ems...
Ukitaka kuamini hilo fanya utafiti shule za Kayumba uliza walimu wakuu idadi ya watoto ambao wamepokelewa kutoka Ems kwenda Kayumba.
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Kuna kitu unataka kukidhihirisha, bado sijajua ni kitu gani hasa. Ila ni ngumu sana watu kuingia kwenye hiyo bandwagon unayojaribu kuitengeneza, very few will concur with you.
Kusapoti unachoandika humu kuna sababu moja tu, uchumi kuyumba. Yaani hata mimi uchumi ukikaa vibaya it's obvious nitatafuta namna ya kupunguza matumizi, nitawaondoa huko. Ila kama nakopesheka, nalipa madeni...watasoma shule nzuri wapate exposure. Ndio maana niliamua kuwatafuta, hawakuja kwa bahati mbaya duniani.
Unazungumzia Ems hizi hizi ambazo walimu wanalipwa laki 2 Kwa mwezi na wana hama hama shule Kwa sababu ya kutolipwa Kwa wakati?Hizo EMS ndio zina nafasi nzuri kuitumia hiyo mitaala maana haraka sana wanatangaza nafasi za kazi za vijana wenye degrees in relation na hiyo mitaala na hapo hapo wanaongeza ada kucover operation cost zao.
Kimbembe kwenye hizo Kayumba kupata hao walimu, ipaka iandaliwe budget, blah blah nyingi, miundo mbinu nk majanga yanaendelea
Wenzako wanatafuta hela kihalali mkuu. Wewe ukipiga simu Kwa Juma, Dullah, Kelvin na Emma hela lazima ipatikane.Hata mtoto wa X wangu akinitelekezea siwezi kumpeleka kayumba.
Ada 2M ndio ikufanye ufilisike au? Kama kipato chako ni kidogo it’s understandable.
Elimu bora ni nini?Labda wewe ndio umeshindwa...mimi wangu wanne wote wako private na ndiko kwenye elimu bora
Tunakopa kwa ajili ya mengi, elimu nayo ni mojawapo na wala sioni shida mzazi kufanya hivyo. Tulisomeshwa shule zamani na wazazi walifanya kila jitihada ili tusome.Exposure ni Nini?
Exposure kwenye shule ya Ems? Tell me you are joking.
At least wangekuwa wanasoma kwenye International School mtaala wa Cambridge.
Ukope Kwa ajili ya kulipa ada shule ya EM?
Kwa sauti ya Pastor Magembe. Utakuja Kuga vibaya wewe?
Nyerere alikuwa sahihi. Ujinga ni kumpeleka mtoto Ems wakati huna hata kiwanjaNyerere alisema maadui wetu wako watatu
Umasikini
Ujinga
Maradhi
Umaskini na ujinga ndo tumejaaliwa ...... [emoji848]
MAKAGA(Make Kayumba Great Again) mnapambana kweli kweli.Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
Mjinga huyo mleta madaMtaala mpya unaathiri vipi hizo shule za EMs?
Tunakopa kwa ajili ya mengi, elimu nayo ni mojawapo na wala sioni shida mzazi kufanya hivyo. Tulisomeshwa shule zamani na wazazi walifanya kila jitihada ili tusome.
Tatizo kwako kusomesha watoto ni utumwa, unataka uishi kwenye comfort zone maisha yaende, sivyo maisha yalivyo, unapambana from the moment unaingia duniani hadi unakata moto, na kuwapatia watoto elimu ni sehemu ya mapambano.
Acha kubweteka kijana fanya majukumu yako.
Yeye mwenyewe Nyerere alisoma shule English medium hakusoma Kayumba akili za kuambiwa changanya na za kwakoNyerere alikuwa sahihi. Ujinga ni kumpeleka mtoto Ems wakati huna hata kiwanja