Wamiliki wa BMW Shikamooni

Toyota ni usafiri wa kutoka sehemu A kwenda B,ila bmw,benzi ni zaidi ya usafiri you feel good ukiendesha.

Bmw unaweza ukawa bored tu ukaamua kuliwasha gari lako na kuzurura na ukaskia raha sana.

Kama pesa unayo ni magari matamu sana and its worth it
 
Mkuu kwa hiyo unataka kusema vitz, passo na ist ndio nyingi zaidi hapo mjini ?.
Halafu nijuavyo mimi mtu mwenye gari aghali sana hawezi kuchomeka mbele ya gari nyingine.
 
Duh pole yao.
 
Mkuu kwa hiyo unataka kusema vitz, passo na ist ndio nyingi zaidi hapo mjini ?.
Halafu nijuavyo mimi mtu mwenye gari aghali sana hawezi kuchomeka mbele ya gari nyingine.
hapa town hv vigari vipo vingi zaid ya boda boda,,, na ndo vina tabia ya kuchomekea vikiwa lami...huwez kuta mtu anaendesha AUD,Range,Jeep au Discovery akakuchomekea hata kuwe na foleni kias gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama gari INA speed 240km/hr ukitembea hadi 180km/hr ni kosa? Hii ni Serengeti. Ukiiga ukafa usinitaje. Kumbuka hii ni BMW sio Vutz sorry Vitz au Crown!
 

Attachments

  • VID_20200212_104923.mp4
    23.2 MB
Mkuu mbona hii ni gari ya kawaida saana? Hata wewe unaeza imiliki kwa Mil 14-20 unapata huyu mnyama.!
Tatizo sio kuumiliki,tatizo kuuweka barabarani kila siku,wanasema kuwa namba moja si tatizo,tatizo kubaki namba moja,hiyo kitu ikianza kuwasha zile taa za faults utashangaa kuzi clear hela ya passo inakutoka,salute kwenu wenye hizo gari barabarani na mfungao vioo!!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…