Wamiliki wa BMW Shikamooni

Wamiliki wa BMW Shikamooni

Atakwambia yeye anaendesha GMC

Sent using Jamii Forums mobile app

fa909d6b-4f81-4337-a2fc-bd160ed93334.jpg


Hahah sikuwahi kujua kuna tajiri anakaa tabata kwny njia choka mbovu nikajua jamaa anaishi zake Masaki huko,sijui GMC inafikaje huko tabata madongo kuinama.

Tajiri badala apeleke gari Pale Toyota/CMC anaulizia mafundi wa bei chee,hahahah.
 
Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz). Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika.

German cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.

Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost
 
Inashangaza sana watu wanavyo ogopa hizi gari,

Hahah Usishangae sana mzee baba,exposure ndgo inachangia.

Hizo zote E36,E46,E53,E90,E70 bei ni za kawaida mnoooo kama za toyota na nyingine ziko chini ya bei toyota ya same category.

Ukiwauliza kwanini mnaziogopa hizo bmw hawana majibu zaidi ya kusema ni bmw/mercedes/audi hata labda wangesema ni maintainance cost ndio inawaogopesha hawasemi ila wanaziogopa tu hahah.

Nilishakua na bimmer 325ci 2004 model wala haikua na kitu cha ajabu zaidi ya kufanya preventive maintainance,nikapataga mshobokea bimmer nikamalizana naye nikarudi zangu Toyota.
 
Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz).
Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika,german cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.

Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost

money pit machines
 
Back
Top Bottom