Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
- #41
Karibu mkuu!
Dah ntashuka Dodoma mimi ujue😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuu!
Hizi chuma zinavutia sana.
Umaskini mbaya nyie acheni tuu😁
Hujajiselfisha kweli ?😀😀 au simu ilikuwa mbaliUlidhan yangu🤣🤣! Nimeosha nayo tu ..limenipendezaa...mwe
Fanya hivo mkuu,afu siku hizi umefunga PM yako.Dah ntashuka dom mm ujue😅😅
Hata kapicha kake basi tuhamasike madam.Bwana wee!...
Mkuu mbona hii ni gari ya kawaida saana? Hata wewe unaeza imiliki kwa Mil 14-20 unapata huyu mnyama.!Na wewe unamiliki? Hongera mkuu.
Nilipewaga Audi A4 na bi mkubwa, mpaka leo nikisema nanua gari I will go German. Mjerumani aheshimiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure..ni 15m.Mkuu mbona hii ni gari ya kawaida saana? Hata wewe unaeza imiliki kwa Mil 14-20 unapata huyu mnyama.!
Inashangaza sana watu wanavyo ogopa hizi gari,Sure..ni 15m.
WTF kiduko lilo yuko wapi ?Heshima kwenu....
Ukikutana na mmiliki wa BMW series yoyote ile ni vyema ukamheshimu tu kujipunguzia machungu ya ukali wa maisha!
Hongereni!
Inashangaza sana watu wanavyo ogopa hizi gari,
Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz).
Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika,german cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.
Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost
🤣🤣🤣🤣 kumbe umeendesha?!! Aisee hongera...nilipewaga lift kwenye Mercedes Benz bana bana, mapicha picha yakaanzia kwenye kufungua mlango tu
Zinakula mafuta mno .......Nilipewaga Audi A4 na bi mkubwa, mpaka leo nikisema nanua gari I will go German. Mjerumani aheshimiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watumie na kapicha walau ka ubavu ili waone,maana sisi wengine tunafahamu unazo kweli.Ndo gari zangu na Benz!