Wamiliki wa lodge kuweni serious

Mbona makosa yao yanarekebishika kabisa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujakosea hata kidogo
 
Siku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.

Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.

Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.

Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Cha moto ulikipata.
 
Umeongea correct kabisa@The boss mwekezaji kawekeza vizuri tatizo watu aliowaajiri ndio wanamletea loss sometimes usilaumu Sana ila ulipaswa utoe USHAURI kwa wenye lodge waajiri ATA manager wa lodge na bar awe at least na certificate ya hotel management na hospitality , Sasa wengi wanajiri ndugu ndio madhara yake hayo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Dah sio mchezo
 
Duh [emoji849][emoji849] wew utakuw umeend kukagua lodge


Mimi hizo lodge tatzo langu kubwa ni wao kukodsha chin ya masaa24

Natak lodge mtu akiigia saa 2 usiku hadi kesho saa usiku
Biashara isingekuwa na faida. Lodge haiwezi kulipa kama wateja wa kulala vyumba kila siku havijai.

Atleast tupate na wateja wa mchana wakitumia chumba wawili kwa siku chumba tayari kinakuwa kimeingiza faida kuliko ukikalie 24 hrs kwa 20k yako wakati kingetengeneza 40k nyingine mchana.

Kama unakaa muda mrefu inabidi useme mapema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…