BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mpaka mwili umesisimka hapa nahisi kujikuna mwili woteSiku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka mwili umesisimka hapa nahisi kujikuna mwili woteSiku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi sahau enzi za ujana wangu, nimeenda Morogoro nikachukua lodge moja nzuri sana kwa mwonekano, sasa nikawa na ka pisi “ka albino”, shida ikaja wakati wa kuoga...nimeingia bafuni fungua maji ni ya chumvi yaani bora hata ya baharini. Kuoga mimi macho yakaanza kuwasha shauri ya chumvi. Ka albino kangu hakawezi kuoga maji ya chumvi na ngozi na macho yake, aise niliteseka. Ilinibidi ninunue maji yale ya kwenye kichupa kikubwa kwa ajili ya kuoga yeye.
Hebu kuweni serious basi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣12. Bed sheet jeupee, godoro limechakaa na limevunda
13. Makahaba wanaruhusiwa kiholela kuja kusumbua wateja, Jambo linaloweza kuhatarisha usalama wa mteja na Mali zake.
14. Kibao Cha Lodge kimeandikwa kuna breakfast na TV lakini hakuna kitu.
15. Kiti Ni kibovu, unakikalia unajikuta umeanguka kwa kisogo, unazirai ukija kuzinduka umeibiwa kila kitu
Hitachi haiwaki na feni ukiwasha inalia kama zile halikopita za wajasiriamali TziiView attachment 2656974
Ilishinikumba hii22. Muhudumu ana kauli mbaya kwa mteja.
Hii sio lodge ni guest bubu usichanganye madaSiku moja nilisafiri nikakutana na hii lodge.
Sikugusa chochote humo ndani.View attachment 2653324View attachment 2653325
Asee alipoteza pesa ndefu.Ilishinikumba hii
Nkasepa kwingine tena nilikua na Lengo la kukaa siku 3 ..
Kilikua kibinti fulani hv cheusi...kina dharau sana.Asee alipoteza pesa ndefu.
Duh [emoji849][emoji849] wew utakuw umeend kukagua lodge
Mimi hizo lodge tatzo langu kubwa ni wao kukodsha chin ya masaa24
Natak lodge mtu akiigia saa 2 usiku hadi kesho saa usiku
Saka pesa mzee wangu ulale hotel sio lodge. Na hayo mambo unakagua kabla hujalipa pesa kwenye chumba husika ushamba nao unachangia kupata vitu vibovuSometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..
Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.
1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.
Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.
Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.
Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.
Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Jina kubwa humu jf kumbe unalala lodge za 20,000-30,000? Lazima upate haramufu ya shahawaSometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..
Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.
1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.
Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.
Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.
Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.
Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Nimechek mpaka watoto wakaniuliz unachek nn baba, imebidi nizuge nisema picha zinu hizi kwenye simu zinanichekesha.!!!!!Siku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.
Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.
Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.
Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
Halafu jina lenyewe la bàndiaJina kubwa Jf linalipa mshahara?😅
Huyo manzi namfahamu ana mbunye tamu balaaKuna lodge moja hapo Arusha nyuma ya Levolosi hospital inaitwa KV. Kuna Binti mmoja wa jikoni ana meno yameungua kidogo, mala kadhaa unaweza mkuta reception akiwa na mwenzie, shift yake anakuaga na kabinti kengine keusi kembamba, nimelazimika kuitaja hiyo motel Kwa sababu huyo binti mweupe mwenye meno yameungua hivi kama sikosei, wa jikoni, muda wote yeye hua na simu akichat, maana pale Kuna Wi-Fi, sasa unaweza muuliza kitu yeye hata hakutazami usoni, anakujibu huku akiperuzi mitandao ya kijamii na wakati mwingine anaweza asikujibu chochote, yaani hua anaudhi yule Binti ni balaa, kanajisahau kua wateja ndiyo wanaokalipa mshahara
Mie niliingia saa kumi na mbili asubuhi,saa nne asubuhi wakadai muda wangu umeisha.Hiv hii kwann iki hiv???.. Yan hata kama nimeingia jana saa 8 usiku ila saa 4 mwisho, maana yake nini???