Wamiliki wa lodge kuweni serious

Wamiliki wa lodge kuweni serious

Hitachi haiwaki na feni ukiwasha inalia kama zile halikopita za wajasiriamali Tzii
IMG_20230612_220652_466.jpg
 
Siwezi sahau enzi za ujana wangu, nimeenda Morogoro nikachukua lodge moja nzuri sana kwa mwonekano, sasa nikawa na ka pisi “ka albino”, shida ikaja wakati wa kuoga...nimeingia bafuni fungua maji ni ya chumvi yaani bora hata ya baharini. Kuoga mimi macho yakaanza kuwasha shauri ya chumvi. Ka albino kangu hakawezi kuoga maji ya chumvi na ngozi na macho yake, aise niliteseka. Ilinibidi ninunue maji yale ya kwenye kichupa kikubwa kwa ajili ya kuoga yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
12. Bed sheet jeupee, godoro limechakaa na limevunda
13. Makahaba wanaruhusiwa kiholela kuja kusumbua wateja, Jambo linaloweza kuhatarisha usalama wa mteja na Mali zake.
14. Kibao Cha Lodge kimeandikwa kuna breakfast na TV lakini hakuna kitu.
15. Kiti Ni kibovu, unakikalia unajikuta umeanguka kwa kisogo, unazirai ukija kuzinduka umeibiwa kila kitu
Hebu kuweni serious basi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..

Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.

1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.

Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.

Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.

Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.

Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Saka pesa mzee wangu ulale hotel sio lodge. Na hayo mambo unakagua kabla hujalipa pesa kwenye chumba husika ushamba nao unachangia kupata vitu vibovu
 
Sometimes mtu anasafiri analazimika kuchukua chumba lodge Kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukaribu wa anapokwenda mfano kikazi mtu atachukua lodge karibu na ofisi, au ukumbi wa mikutano na kadhalika. Sometimes kwa sababu ya lodge zingine kuwa zimejaa n.k..

Lakini sasa unaona lodge nzuri Kwa nje na hata ndani Kwa macho unaona iko Sawa, unalipia ulale unashangaa na unayo kutana nayo.

1. Feni inapiga kelele.
2. Bomba bovu maji yanatiririka bafuni.
3. Vitasa vibovu.
4. Mlango wa bafuni haufungi.
5. Taa bafuni haiwaki
6. Kitanda kinatoa milio
7. Mto ngumu Sana au mlaini Sana..
8. Feni haipungui wala kuongezeka Ama uwashe au uzime.
9. AC inapiga kelele
10. Tiles bafuni zina kutu.
11. Wahudumu Wana makelele.

Mradi matatizo ni mengi ambayo mtu anaejali biashara yake ni rahisi kabisa kutatua.

Nashauri kama mtu unamiliki lodge au kuendesha uweke utaratibu wa kulala wewe mwenyewe kila chumba Kwa mda Fulani ukague ujirishishe na huduma unazotoa.

Kuna lodge chumba kimoja kina joto kuliko chumba kingine Nakadhalika.

Kuweni serious, lodge ni sehemu ya mteja kulala comfortable sio kuwaza wateja wote wanaenda kwa ngono tu na kuondoka.
Jina kubwa humu jf kumbe unalala lodge za 20,000-30,000? Lazima upate haramufu ya shahawa
 
Siku moja Moshi mjini mitaa ya Majengo nilichukua room kwenye lodge moja, 20k. Nilipoingia tu nikafunga mlango wa room kwa funguo, nikavua nguo direct kuoga bafuni. Huko bafuni nililazimika kurudishia mlango maana bafu ni dogo sana. Ile nafunga mlango nikasikia kitu kinaanguka upande wa pili wa mlango (upande wa chumbani). Sikujali nikaendelea kuoga.

Nimemaliza kuoga nafungua mlango haufunguki. Kumbe handle ya kitasa upande wa nje na kile kijichuma kinaunganisha handles na kitasa ndio vinedondoka.

Niliita wahudumu kwa nguvu sana ila wasisikie mpaka koo likauma na matusi yote hapo nimeshamaliza, na hakuna hata mteja mwingine room jirani anisikie awaambie. Wamekuja baada ya nusu saa hivi ila hawawezi kuingia chumbani kwangu kwani nimefunga. Funguo za akiba hawana anazo boss mwenye guest house. Boss amepigiwa yupo mbali, shambani. Alikuja baada ya kama 3hrs hivi. Muda wote huo nipo chooni tu.

Walipofungua nikatoka. Jicho nililowakata wakaelewa namaanisha nini. Wakanirudishia hela yangu bila kusema chochote nikaondoka kutafuta lodge nyingine.
Nimechek mpaka watoto wakaniuliz unachek nn baba, imebidi nizuge nisema picha zinu hizi kwenye simu zinanichekesha.!!!!!
Dah.! 3 hrs ndani ya chooo.! Umenifurahisha as if comedy clip kumbe ndo maisha yanaendelea.
 
Kuna lodge moja hapo Arusha nyuma ya Levolosi hospital inaitwa KV. Kuna Binti mmoja wa jikoni ana meno yameungua kidogo, mala kadhaa unaweza mkuta reception akiwa na mwenzie, shift yake anakuaga na kabinti kengine keusi kembamba, nimelazimika kuitaja hiyo motel Kwa sababu huyo binti mweupe mwenye meno yameungua hivi kama sikosei, wa jikoni, muda wote yeye hua na simu akichat, maana pale Kuna Wi-Fi, sasa unaweza muuliza kitu yeye hata hakutazami usoni, anakujibu huku akiperuzi mitandao ya kijamii na wakati mwingine anaweza asikujibu chochote, yaani hua anaudhi yule Binti ni balaa, kanajisahau kua wateja ndiyo wanaokalipa mshahara
 
Huyo manzi namfahamu ana mbunye tamu balaa
 
Back
Top Bottom