Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani lazima kuanza safari Asubuhi, kwanini isiwe alfajiri, usiku, mchana...mm naenda mwanza kwanini nsianze safari saa 4 usiku, au saa mbili, au saa 8 kama KampalaKwa nini bus zote 100 au 200 zitoke saa 12 asubuhi? Why???? Kwa nini mengine yasitoke saa moja, saa mbili, saa tatu, saa 4 au saa tano??
Mkuu kwan mtu anayefika saa 6 usiku anakuwa kawahi?? Vipi hii safarii ikianza saa 6 mchana ili ufke saa 12 asubuhi, au ianze saa mbili usiku ili ufike saa afike saa 8 mchanaInategemea umbali wa safari ndugu na pia uwingi wa abiria wanaokwenda mkoa husika.
Kwa mfano mabasi ya Dar-Arusha yapo kuanzia saa 12 hadi saa 4 asubuhi na bado baada ya hapo kuna noah nyingi zinakwenda na wana uhakika wa kufika mapema kabla ya saa 4 usiku.
Hii inatokana na harakati za watu husika wa mkoa huo.
Kuna mikoa mingine bus ikienda moja tu abiria wameisha na kingine tena kwa mfano safari ya dar-mwanza wakitoka dar saa 12 asubuh wanafika mwanza saa 6 usiku,sasa fikiria ukianza safari saa 4 asubuh utafika saa ngapi huko mwanza?
SGR ikianza watu wa Mwanza tutaazia safari morogoro mambo ya kuamshana saa 9 kama mchawi, unakata tiketi Ubungo, unapanda SGR saa 2 saa 4 uko Moro, ayo makin Alystar, Njimunisa, Kisbo saa 5 uko ndani ya BusMwenyewe napendekeza kusafiri usiku ni kuzuri imagine una issue yako imetokea saa kumi na tukio lako ni kesho, kuliko kupoteza siku heri kusafiri huo usiku, udamkie huko mapema uendako
Mkuu wanakosafiri usiku kama, Rwanda, SOUTH AFRICA, KENYA, UGANDA HAKUNA RAIAishu ya kuzuia mabasi kusafiri usiku ni ya kiusalama zaidi.
Kuna wale majangiri wa kuweka magogo barabarani
Lakini pia hamna Traffic wa kukesha Usiku
Lakini Pia madereva watakuwa wanakimbiza mno mabasi na Usiku kwenye mwanga hafifu ni rahisi kupata ajali
Pia mkipata Shida ni ngumu kupata msaada saa nane za usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anaishi tanzania gani, Mwanza - Mbeya abiria wanaanza safari saa 12 asubuhi mbeya unafika saa 10 au 12 Alfajiri, ayaa Mwanza unafika saa 6, 7 usiku....Hzo sababu ni za kiuoga tu kwanini traffic wasiwepo na ni majukumu yao, nimesafiri usiku magari huenda tu taratibu, hii kusubiria tu mchana sio sahihi, kabisa
Mkuu kwan mtu anayefika saa 6 usiku anakuwa kawahi?? Vipi hii safarii ikianza saa 6 mchana ili ufke saa 12 asubuhi, au ianze saa mbili usiku ili ufike saa afike saa 8 mchana
Kwenda Mwanza inakuwa kero saa tano kwenye basiSGR ikianza watu wa Mwanza tutaazia safari morogoro mambo ya kuamshana saa 9 kama mchawi, unakata tiketi Ubungo, unapanda SGR saa 2 saa 4 uko Moro, ayo makin Alystar, Njimunisa, Kisbo saa 5 uko ndani ya Bus
Mnaweza kutekwa na majambazi pia tochi usiku hakuna,,patakuepo ajali nyingiMkuu kwani lazima kuanza safari Asubuhi, kwanini isiwe alfajiri, usiku, mchana...mm naenda mwanza kwanini nsianze safari saa 4 usiku, au saa mbili, au saa 8 kama Kampala
Sahihi kabisa, miaka ya 80 mpaka 90 Bus zilikuwa zinasafiri usiku Dar to Moshi na Arusha, tena barabara zilikuwa mbaya mbaondoka jioni ile alfajiri mmefika. Hata treni lilikuwa linaondoka Dar saa 10 jioni na kufika Moshi saa moja alfajiri, kiasi kwamba wale wanaendelea na safari hawapati shida yoyote. So kungekuwa na options nyingi : alfajiri saa 12, saa 1,2,3,4 5,mpaka saa 6. Pia yawepo ya kuondoka saa 12 jioni, yaani mfanyakazi Ijumaa unafanya kazi mpaka 9.30 then huyooo unaunganisha zako stendi unasafiri usiku na asubuhi uko home au mkoani J1 na J2 jioni unageuza saa 1.30 unaingia zako ofisini. Yaani hata ndoa kwa familia zilizopo mbali zingeimarika na mchepuko isingekuwa dili tena.MI nafikiri waweke safari za usiku, mabasi mengine yasafiri usiku
Mateso yanazoeleka mkuu? Yaani uamke saa 9 usiku ili uwahi Mbagala kuna kuzoea hapo?Mtazoea tyuuu mbona kuna watunwanaishi mlandiz na wanasafiri kwenda mikoa ya kusin anaenda pandia gar mbagala
Bado nasimamia hoja yangu kwamba sioni ulazima wa Bus kuondoka zote saa 12 asubuhi. Sumatra wangetoa ratiba rasmi ya muda wa mabus kutoka kituoni kwa intervals na abiria wakilijua hili watajipanga kulingana na umuhimu wa safari yake badala ya woootee kukimbilia stend saa 12. Hizo Noa au Bus zinazotoka baada ya saa 12 ni za kubahatisha. Mbona stend mpya ya Dodoma wameweka utaratibu wa Bus kuondoka kwa intervals ya saa moja au nusu saa kama sikosei. Habari ya kukosa abiria Bus operators knows the business very well, kuna high na low season...Inategemea umbali wa safari ndugu na pia uwingi wa abiria wanaokwenda mkoa husika.
Kwa mfano mabasi ya Dar-Arusha yapo kuanzia saa 12 hadi saa 4 asubuhi na bado baada ya hapo kuna noah nyingi zinakwenda na wana uhakika wa kufika mapema kabla ya saa 4 usiku.
Hii inatokana na harakati za watu husika wa mkoa huo.
Kuna mikoa mingine bus ikienda moja tu abiria wameisha na kingine tena kwa mfano safari ya dar-mwanza wakitoka dar saa 12 asubuh wanafika mwanza saa 6 usiku,sasa fikiria ukianza safari saa 4 asubuh utafika saa ngapi huko mwanza?
Kama suala ni kuwahi kufika basi mabus yangekuwa yanasafiri usiku kama zamani then alfajiri yanakuwa yamefika huko yaendako. Kwa hiyo bado sijaona sababu ya msingi ya buses nyingi kuondoka saa 12.Mbona yapo mpaka ya saa 5 asubuhina kuendelea sema yanayoenda mbali huwahi kutoka ili ziwahi kufika mfano mtu anaendamwanzo akiondoka saa 4 asubuhi atatumia siku mbili njiani
[emoji106][emoji106]Hiyo sababu ya kuwa na wajanja au wamejenga sijui kila kitu ni uongo tu ingekuwa hivyo wangeijenga sinza au kinondoni.
Sema wameisogeza kule kwa sababu ndio uelekeo wa highway ya kwenda mikoa mingi ya Tanzania,hii ndio sababu kuu hakuna nyingine.
Maana yake wanapunguza msongamano wa magari makubwa mjini yaani mabus na malori ndio maana wakajenga bandari kavu pia kule maeneo ya mlandizi.
Nimeipenda hiiSahihi kabisa, miaka ya 80 mpaka 90 Bus zilikuwa zinasafiri usiku Dar to Moshi na Arusha, tena barabara zilikuwa mbaya mbaondoka jioni ile alfajiri mmefika. Hata treni lilikuwa linaondoka Dar saa 10 jioni na kufika Moshi saa moja alfajiri, kiasi kwamba wale wanaendelea na safari hawapati shida yoyote. So kungekuwa na options nyingi : alfajiri saa 12, saa 1,2,3,4 5,mpaka saa 6. Pia yawepo ya kuondoka saa 12 jioni, yaani mfanyakazi Ijumaa unafanya kazi mpaka 9.30 then huyooo unaunganisha zako stendi unasafiri usiku na asubuhi uko home au mkoani J1 na J2 jioni unageuza saa 1.30 unaingia zako ofisini. Yaani hata ndoa kwa familia zilizopo mbali zingeimarika na mchepuko isingekuwa dili tena.