LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Unaweza ukampeleka wazo kwa.matajiri mkagawana mapatoHii Idea ninayo kichwani muda mrefu sasa, I hope wenye bar ama maeneo ya starehe wanaweza itekeleza vizuri, nakumbuka moja hapo Kenya ilikua awesome. Hapo hata ukienda na marafiki mkifika eneo la tukio kila mtu anaenda angle yake ku meet na mtu tofauti kabisa wana mingle etc.
Kama sehemu za ibada tu jambazi tapeli wachawi wote ndani wanapokea upako na sadaka zao zinapokelewaMzee hata wake za watu wengine ni wadangaji. Kudanga sio shida yetu hapa, shida yetu ni kuwakutanisha watu wanaotaka ku'bond'
Am humbled π akili kubwazzz u knowKabisaa..
Mzee una akili saaaana.....
Yaani watapangwa kama gunia la karoti...Wee hakuna mwanamke atafika hapo sana sana wanaojiuza na wake za watu
πππππππππββhawa malaya cheap wasiojua hata kuandika hutowaona
Wanywa pombe hii inawahusuMimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio.
Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye matako makubwa ndo watawaletea wateja, the truth is nyie ndo mnawaletea wateja hao wadada wenye matako makubwa.
Kama una kiwanja au oub, wewe andaa blind dates zako 2 kila mwezi. Labda hujui blind date ni nn, blind date ni ile mnaenda sehemu watu wengi wa jinsia tofauti na lengo kuu ni kutafuta match, au mtu unaeendana nae na myajenge. Huu sio umalaya au biashara ya kuuza na kununua kipochi manyoya, huu ni mfumo uliowekwa tangu zamani huko nchi za wenzetu ili watu wakutane, wafahamiane na waanze mahusiano.
Sasa jiulize umeandaa blind date kwako, uza soda 1000, maji 2000, vinywaji vyote weka bei za maana sababu watu watajazana tu.
Trust me kuna watu kibao wanatafuta watu wa kubond nao, na usichukue maneno yangu, business specialist kutoka harvard na stanford wanakwambia biashara nzr yyt nzr ni ile inayotimisa 'one of the core human desires' na 'desire to bond' ni mojawapo ya hizo core desires.
Hivi hujiulizi kwa nn apps za dating haipo app unayoweza tumia bure na zote zinapiga hela, sasa nyie cheleweni kuchangamkia fursa, nikikasirika nitafungua kiwanja special tu kwa ajili ya blind dates ili kina dronedrake waache kupiga nyeto wakajiopolee mali swaaaf.
kuna diss or kiss, ya Wazulu, totoz ziko thick na juicier π , wana lock-tongues mbele ya kioo aiseesmash or pass
Ikawaje ukaacha?Ni bonge la mchongo...
Mwenyewe nilikua nafikiria kufanya a few years back π€ View attachment 2875662
Ulikwamia wapi sasa mremboNi bonge la mchongo...
Mwenyewe nilikua nafikiria kufanya a few years back π€ View attachment 2875662
I needed a business partner, mtu kama Carlito wa Samaki na sikua na muda wakutafuta. Baadae nikakamatwa na mambo mengine, nikasahau na kusahau.π₯΄Ikawaje ukaacha?
Kama unaweza kuiendesha let's talk business, mimi nikupe connections na some capitalI needed a business partner, mtu kama Carlito wa Samaki na sikua na muda wakutafuta. Baadae nikakamatwa na mambo mengine, nikasahau na kusahau.π₯΄
Cc
raraa reree
Heeee ukakamatwa tenaa π² umafia gani tena ulikuwa unataka kuufanya totoo πI needed a business partner, mtu kama Carlito wa Samaki na sikua na muda wakutafuta. Baadae nikakamatwa na mambo mengine, nikasahau na kusahau.π₯΄
Cc
raraa reree