Wamiliki wengi wa majokofu/friji wanauelewa mdogo juu ya utendaji kazi wake

Weka volt regulator (stabilizer) kwakua wakaa eneo lenye umeme mdogo hii itasiadia kufanya fridge yako ipate umeme ambao upo within range inayotakiwa na fridge yako....

Kuhasu tatizo lako kwa jinsi ulivo elezea(ingawa sijui design ya fridge yako kama ni frost au non frost kwakua zina utofauti wa ufanyi kazi na hata diagnosis zake zinaweza tofautiana kulingana na components kua kidogo tofauti kiasi,

Now kwa case yako, possible causd inaeeta kua
1. Gas ndogo au
2. Timer inamisha fridge na inashindwa ruhusu frigde kuwaka
3. Check knob ya kuseti temperature na thermostat je inafanya kazi vizuri?

Na umesema kuna wakati baridi kwenye freezer ni kubwa wakat kwenye fridge ni mdogo..kama fridge yako ni non frost basi fridge yako inajaza barafu kwenye evaporator na ku restrict airflow...so maana yale hapa labda timer inashidwa kuzimisha fridge na kuwa heater kuyeyusha barafu ya evaporator, au temperature sensor ya evaporator imekufa, so check na fundi akuangalizie
 
Weka volt regulator (stabilizer) kwakua wakaa eneo lenye umeme mdogo hii itasiadia kufanya fridge yako ipate umeme ambao upo within range inayotakiwa na fridge yako....

Kuhasu tatizo lako kwa jinsi ulivo elezea(ingawa sijui design ya fridge yako kama ni frost au non frost kwakua zina utofauti wa ufanyi kazi na hata diagnosis zake zinaweza tofautiana kulingana na components kua kidogo tofauti kiasi,

Now kwa case yako, possible causd inaeeta kua
1. Gas ndogo au
2. Timer inamisha fridge na inashindwa ruhusu frigde kuwaka
3. Check knob ya kuseti temperature na thermostat je inafanya kazi vizuri?

Na umesema kuna wakati baridi kwenye freezer ni kubwa wakat kwenye fridge ni mdogo..kama fridge yako ni non frost basi fridge yako inajaza barafu kwenye evaporator na ku restrict airflow...so maana yale hapa labda timer inashidwa kuwasha fridge, au temperature sensor ya evaporator imekufa, so check na fundi akuangalizie
 
Interesting 🙂...... unaeleza vyema hii sector ya refrigeration nimejifunza mengi kutoka kwako..

I'll be glad to know.....! kua.
Wewe ni certified technician au ni self learner?
 
kak taaluma gan electrical.,mechanical au

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
naomb kujifunzaa kwako up wap

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Interesting [emoji846]...... unaeleza vyema hii sector ya refrigeration nimejifunza mengi kutoka kwako..

I'll be glad to know.....! kua.
Wewe ni certified technician au ni self learner?
Self acquired knowledge and practitioner as DIY person.

NB: I am a tech enthusiast!

But I am a certified risk management expert in financial institutions.
 
Kwamfano unataka kununua fridge lamtumba ni kitu Gani inatakiwa uzingatie Ili usije ukauziwa fridge fake!? Ni kipi kitakujulisha kwamba hili fridge ni zuri na halimwagi maji!?
Fridge nyingi za mtumba wanachomea compressor... So unaweza kuta wanaweka compressor ndogo inayoshindwa kujaza ubaridi unaotakiwa ndani ya muda unaotakiwa (though this subject to heat load na level of insulation ya fridge na mahali utapoiweka panajoto kiasi gan kuruhusu condenser ifanye kazi vuzuri. Na kuweza kusave umeme as much as possible.

Sasa kuhusu unachokitaka maana yake unabidi upat fridge ambayo ni non frost, ambayo heater, timer,frost sensor pamoja na thermostat zote zinafanya kazi vile inavotakiwa..

Kuhusu kumwaga maji ni kwamba refrigeration system yoyote huwa ina mwaga maji pale panapokua na humidity kubwa kwenye cool surface lakini pia pale cool surface (evaporator) inapokua na barafu inayotokana moisture (angalia ac za majumbani utakuta inadondosha maji nje ikiwa unafanya kazi, ac za magari, au hata ukiweka maji ya baridi kwenye glass utakuta kwa nje ile glass kwa nje tayari inatengeneza maji, why because of temperature deference kati ya source ya baridi na surroundings palipo na high humidity)


Sasa namna ya kuepuka maji kwenye fridge yanayotokana na moisture ni kuhakikisha mlango wa fridge haubaki wazi kwa muda mrefu... Mlango wa fridge ukibaki wazi huruhusu moisture kuingia na moisture kwakua inakua na elements za maji huenda kutengeneza barafu kwenye evaporator...

Lakini pia kwa fridge zilizo vizuri zinakuja na mechanisms ya ku handle situations kama hizi ili kuhifadhi maji yanayotengenezwa na fridge.. ndo issues ya heater, frost sensor na timer zinapokuja kufanya kazi yake sasa.. ina maana utakuta fridge nyuma ya compressor kuna container ya kupokea maji pale fridge inapo washa Heater kuondoa barafu kwenye evaporator, so barafu itayeyuka yale maji yatashuka kwenye container iloyo nyuma ya fridge.. hivo occasionally mtu unaweza kua unaangalia kama kile ki container kina maji au lah.. but hii hali ni mara chache kutokea kam hauna tabia ya kuacha mlango wa fridge wazi kwa muda mrefu.

Ukinunua fridge ya mtumba ambayo ni frost basi hii changamoto utakua nayo hasa ukiwa unaweka vitu vikiwa vinachuruzika maji ndani ya fridge.. na hasa umeme ukikatika.

Wauzaji wakupe warranty, kawashe fridge, weke thermostat kwenye setting ndongo hata number 1 ili fridge ifanye kazi muda mfupi kutest kwanza thermostat inafanya kazi au lah...

Mbili hakikisha fridge ina timer na timer inafanya kazi(kama timer ni ya manual unaweza test kirahisi.. wawashe fridge then azungushe timer manually mpaka fridge izimike then awashe kwa kuzungusha timer, hapa itakusaidia kujua uzima wa timer na wiring ya hiyo fridge used.

Issue ya heater kama inafanya kazi kwa pale si rahisi kuingundua unless uwefundi afungue na a test resistance ya heater kama ipo sawa na sensor yake.. unless uende utumie smbapo fungua mlango wa frigde uku ikiwa on kama dakika tano ili ijaze moisture ndani (upande wa freezer) then funga acha ifanye kazi mpaka evaporator itapo jaa barafu, alafu angalia je vitu ndani ya freezer vimeanza kuganduka/ubaridi umeanza pungua huku compressor inafanya kazi/huku fridge inaunguruma? kama ni hivo maana yake barafu imejaa na fen ndani ya freezer inashindwa kusukuma upepo wa kutosha kwakua evaporator imejaa barafu.. so maana yakr hapa either heater au sensor ya heater au vyote kwa pamoja havifanyi kazi. (So ukiwa na warranty kwa case kama hii ni kwamba unaweza rudisha fridge au ukawambia wakutengenezee)
 
Mbna mchoro wako unaonesha inaanzia condenser na sio evaporator ...yani gas ikitoka kwenye evaporator inaingia kwenye chungu
 
Mbna mchoro wako unaonesha inaanzia condenser na sio evaporator ...yani gas ikitoka kwenye evaporator inaingia kwenye chungu
 
Na vipi kuhusu non frost nnasikia zinatafuna sana umeme je ni kweli?
 
Shukrani Sana wazee. Nimejifunza. Je kampuni gani nzuri Kwa matumizi ya nyumbani?.
 
Na vipi kuhusu non frost nnasikia zinatafuna sana umeme je ni kweli?
Si kweli mkuu.. unless thermostat isiwe inafanya kazi,au ges iwe ndogo na kufanya kompresa iwe inafanya kazi muda wote bila kupunzika (kumbuka compressor ndo inayotumia 95% ya umeme kwenye fridge so kompresa isipo punzika kwasababu ya either thermostat ni mbovu au thermostat ume set kwenye namba kubwa mfano 4 mpaka 7, au fridge yako ipo mahala kuna joto sana kiasi kwamba joto linapotea haraka kwenye compartment ya fridge, au milango ya fridge inafunguliwa muda mrefu)

jua kua non frost fridges zipo energy efficient kuliko frost fridges. Pia una option ya kuchagua inverter na non inverter fridges non frost.. ukiwa na Inverter fridge maana yake inakula umeme mdogo ila changamoto ni ikiharibika.. ni kama inverter air-conditioners.

Usiogope nunua fridge mkuu ya non frost... Brands zipo nyingi.. kuna Samsung, Lg, Hisense, Ivon, na nyingine nyingi ila hizo nilizo mention awali kwakua ni brand famous kidogo bei imechangamka.
 
Shukrani sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…