Wamisionari waliofika Tanganyika walikuta watu wamestaarabika na wanajua kusoma na kuandika

Inaonyesha katika hii dunia, kwa mtazamo wako, waislamu wanaonewa sana..!! Maana sijawahi ona post yako yoyote inayotaja wema wa wasio waislamu kwa waislamu..!!!
Nga...
Mimi nimeandika historia ya kudai uhuru wa Tanganyika na mchango wa Waislam.

Sijaandika historia ya Waislam duniani.
 
Nga...
Mimi nimeandika historia ya kudai uhuru wa Tanganyika na mchango wa Waislam.

Sijaandika historia ya Waislam duniani.
Vyovyote uandikavyo, hujawahi andika uzuri wa wasio waislam kwa waislam..!! Picha unayotujengea siku zote kwenye mabandiko yako, ni kwamba waislam popote walipo wao ni kuonewa tu na wasio waislam a.k.a MAKAFILI kama mnavyotuita. Iwe mambo ya kudai uhuru, iwe mambo ya elimu na mashule kwa ujumla, iwe uhuru wa kusali/kuswali etc..!!
 
MATAYO 17:4-6

Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka, nitafanya hapa vibanda vitatu, kimoja chako wewe, na kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya. Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye. Na wale wanafunzi waliposikia, walianguka kifulifuli, wakaogopa sana.
 
WANA WA MUNGU

Biblia inasema kwamba:

1. Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu. (Kutoka 4:22).

2. Daudi ni mwana wa Mungu, yeye pia ni mwana wa kwanza. (Zaburi 89: 26-27).

3. ....maana mimi ni baba wa Israeli na Efraim (Ibrahim) ni mzaliwa wa kwanza wangu. (Yeremia 31:9).

Hawa wana wa Mungu wote, kila mmoja wao ni mzaliwa wa kwanza kwa Mungu.

Kwanza itakuwaje watoto wote watatu wawe wazaliwa wa kwanza kwa Mungu.

Pili kwa nini hawa wazaliwa wa kwanza wasiitwe miungu?

Na kama hawa watatu wakubwa hawawezi kuwa miungu wala hawaabudiwi, basi mtoto mdogo Yesu pia hana haki yoyote ya kuitwa Mungu wala hana haki ya kuabudiwa.

4. Suleimani ni Mwana wa Mungu. (Mambo ya Nyakati 22:9-10).

5. Wapatanishao wameitwa Wana wa Mungu. (Mathayo 5:9).

Oo! siyo tu bali katika Biblia baadhi ya watu wameitwa miungu. Tena hakuna Mkristo ambaye anawaita iungu wala kuabudiwa .

Kama Biblia inavyosema kwamba:

A. Yesu akawajibu, Je! haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, mimi nimesema, ndinyi miungu? (Yohana 10:34).

B. Bwana akamwambia Musa angalia, nimekufanya wewe kuwa kama mungu kwa Farao na huyo ndugu yako Harun atakuwa Nabii wako. (Kutoka 7:1).
 

Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.

Mara nyingi waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Yeye mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.

Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.

Mahasimu zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.
 
Ila Mungu alimtambulisha kama mwana wake..!!
 
Ila Mungu alimtambulisha kama mwana wake..!!

Hata wewe unaweza kuwa ni mwana wa mungu , lakini haikufanyi kuwa wewe ni Mungu.

Kwa kuwa Wayahudi wanaamini kuwa Mungu ni Mmoja, na hana mke wala mtoto kwa maana halisi yoyote ile, ni wazi kuwa ibara “mwana wa Mungu” kwa Wayahudi ina maana ya “Mtumishi wa Mungu tu” yaani mtu aliye karibu na Mungu, kwa sababu ya huduma yake ya kiimani, akiwa kama mtoto kwa baba yake.

Wakristo waliokuja kutoka katika historia za kuwa walikuwa ni Wagiriki au Warumi, baadaye waliitumia vibaya istilahi hiyo. Kwani katika urithi wao, “mwana wa Mungu” inamaanisha mungu ana mwili au mtu aliyezaliwa kwa muungano wa kimwili kati ya mungu mwanamume na mwanamke.

Wakati Kanisa lilipoacha msingi wa Kiyahudi, lilitwaa dhana ya kipagani ya “mwana wa Mungu”, ambayo kwa ukamilifu, ilikuwa ni tofauti na matumizi ya Kiyahudi.

Kwa hiyo, matumizi ya istilahi “mwana wa Mungu” inafaa ifahamike kuwa ni alama ya ufahamu ya kisemintiki yenye maana “mtumishi wa Mungu”, na sio katika ufahamu wa kipagani wa uhalisi wa kuwa kinda la Mungu.

Katika Injili nne, Yesu anarekodiwa akisema: “Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.” Mathayo 5:9.76
 
Salman Rushdie. AYA ZA KISHETANI.

WADAU MDOWNL

KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA NA TABIA KAMA ZA WANAWAKE?​



1. APAKA WANJA NA PODA KAMA WANAWAKE.
2. ACHUCHUMAA WAKATI WA HAJA NDOGO.
3. ALIVAA MAGAUNI YA WAKE ZAKE.
HUU NI MSIBA WA KUMALIZA MWAKA 2016 KWA WAISLAM.
Japo alikuwa mwanaume lakini Muhammad alikuwa na tabia kama za Wanawake,
Mfano Muhammad alikuwa anachuchumaa wakat anakojoa. Soma ushaidiL
Aisha Mke Wa Mtume Anasema "Mwenye kukuhadithieni kuwa Mtume Wa Allah (S.a.w) alikwenda haja Nnogo wima musimsadiki, (Mtume) Alikuwa hajisaidii Ila AMECHUCHUMAA"
Al'mugh'niy 1/156 Muhamad Pia Alikuwa Hataki Kuona Muislam Mwanaume Anakojoa Hali Amesimama.
Soma Sunan Ibn Majah 1/112 Hadith Na 309, "Mtume wa Allah aliniona najisaidia wima (Haja Ndogo) akasema: Ewe Umar, Usijisaidie Wima.
Sunan Ibn Majah, Hadith Na 309 Muhamad pia alikuwa anatembea Na KIOO Na WANJA,
ALIPAKA WANJA KAMA WANAWAKE:
Ukisoma maisha ya Muhamad kipengele cha Mavazi Na 26 "Muhammad alikuwa na Kitana Cha Pembe Akichania Nywele Zake, alikuwa na Mafuta Na ALIKUWA NA KIOO akijitazama na KICHUPA CHA WANJA ambao akijitia usiku usiku kabla ya kulala na alipenda sana kutumia Manukato..."
Sio Kawaida Mwanaume KUJIPAKA WANJA AU KUKOJOA HUKU AMECHUCHUMAA. LAKINI MUHAMMAD YEYE ALIPAKA WANJA KAMA WANAWAKE NA KUPAKA HINA NDEVU ZAKE.
Hivi hii tabia ya kike aliipata wapi?
ALIVAA MAGAUNI YA AISHA:
From the English translation of the Sahih collection of Imam Muslim, Book 031, Number 5984:
Aisha mke wa Muhammad alisema: Nabii wa Mwenyezi Mungu alikuwa anapata ufunuo wakati amevaa nguo zangu au amejifunika ushingi wangu.
The Book Pertaining to the Merits of the Companions of the Holy Prophet (Kitab Al-Fada'il Al-Sahabah) (University of Southern California…/fund…/hadithsunnah/muslim/031.smt.html…)
 

Kung'ang'ania kifo cha Yesu ni uoni finyu


HAKUNA aya hata moja ya Biblia inayomtaja mtu yeyote aliyeona sura ya Yesu hasa wakati akifa pale msalabani.Yesu alidhaniwa tu kuwa ni Yesu aliyeuawa msalabani, lakini baada ya sikuchache Yesu huyo akaonekana yu hai, wala hakurudi kama pepo (ghost)! Kung'ang'aniakuwa ni Yesu aliyeuawa pale msalabani ni utani mgonjwa, hususan tukizingatia ushahidi wote huo hapo nyuma, vipofu na hata kuwafufua watu. Kwa upande mwingine twaambiwa eti kumtesa Yesu kwa kumpiga, kumchoma kwa ncha kali,na kumpigilia misumari mtini eti ilitosha kumuuwa Yesu. Hii haiingii akilini kimantiki labda kwa kuiamini tu kiupofu (blindly).

Isitoshe, Yesu angalisubuliwa kweli, ingekuweko aina moja tu ya msalaba aliouliwa. Lakini Catholic Encyclopaedia peke yake ina aina 40 za misalaba.

Kwa sababu zisizo dhahiri, msalaba ule wa vipande viwili vinavyosigana yaani +, ndio umependelewa zaidi na Waingereza wakauita "Cross", ingawa neno la awali la msabala kwa Kigiriki ni "Stauros" ambalo halina dhana ya vipande viwili ila kimoja tu. Biblia chache tu kama ile ya Mashahidi wa Yehova ndio imetaja waziwazi kuwa Yesu aliangikwa kwenye mti (stauros) na usulubisho kwao wao sio "crucifixion" bali "stafixion".

Dhehebu jingine limesema Yesu aliangikwa kwenye mti wenye umbo la T. Ke bado Wakristo wengine wanauabudu msalaba huo wa alama ya kujumlisha +.

Gazeti la Newsweek la Aprili 4, 1994 liandika: "Kifo cha Yesu - Fikra mpya za siku zake za mwisho". Limesema kuwa, kama Yesu kweli aliuliwa msalabani, basi lazima iweko aina moja tu ya msalaba.

Katika gazeti hilo hilo, Padri wa Kikatoliki Raymond Brown kaandika kitabu chake, "The Death of the Messiah (Kifo cha Masihi)". Double day na wana seminari wenziwe 2000 amesema kuwa hadithi za Yesu kuhusu kuhubiri, kuponya wagonjwa, kufanya miujiza, hizo zaweza kuwa kweli; lakini hadithi nyingine (kama ya kusulubiwa Yesu) hazina usahihi wa kihistoria (historical accuracy).

Hii anasema ni kwa sababu waandishi wote wa Injili hawakuwa mashahidi wa macho (eye witnesses) kushuhudia hata moja ya yale wayoyaandika mnamo miaka 35-70 baada ya Kristo; na mpaka leo hatuna hakika ni nani hasa aliyeandika Injili zote hizo, ambazo kila moja inatofuatiana na yenzie.

Yesu asingekosa kutabiri kuuliwa kwake msalabani, akatabiri juu ya kuteswa tu:

"Mt 23:35 Hivyo ije juu yenu damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habil, yule mwenye hakika hata ... Zakaria ... mliyemuua kati ya patakatifu".

"Lk 22:15 ... Nimetamani sana kula pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa"
 


His Family Think Jesus Has Gone Mad - Mark 3:20-21



 
HIKI KITABU KILIYOANDIKWA NI YA KWELI ??? MBONA NAANZA KUPATA MASHAKA.
 
Mmmmmmmhhhhhh..... Mkuu haya ni ya kweli? Siyaelewi.... Imeandikwa hivi kabisa?
Huyu jamaa huwa namsoma sana. Sielewi anayatoa wapi haya. Huwa sijui ni dini gani maana ni kama amewahi sali dini zote hizo. Najiuliza huo muda na haya anayoandika. Huwa sielewi kwa kweli hizi dini hizi kama ni kweli sisi wengine tutapata shida sana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…