Wamisionari waliofika Tanganyika walikuta watu wamestaarabika na wanajua kusoma na kuandika

Ukiona mtu hana uelewa huwezi bishana naye. Nimemkubalia then tena yeye kaanza kukataa. Imagine anajiita Vagina.
Mwarabu suala la elimu hajawahi kulipa kipaumbele sana yeye ni dini na biashara kwa kias flan
 
Mwarabu suala la elimu hajawahi kulipa kipaumbele sana yeye ni dini na biashara kwa kias flan
Sasa huyu dogo anasema mwarabu alijenga shule na vyuo... Nikaona shida hapa ni Elimu. Hana Elimu. Alinyimwa Elimu. Mwarabu hajawahi kuwa na kipaumbele cha Elimu .
 
Kiibodi...
Mimi nimeandika mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ikiwa historia hii huipendi ungetaka niandike mengine chembelecho ya mkwamo hata wewe unaweza kuandika ikiwa unaona uko mkwamo.

Historia niliyoandika ni sehemu muhimu sana kwa Waislam na walioifuta walijua athari yake kwa taifa hili.

Sijapata kulaumiwa na Waislam kwa kazi hii na kuonyesha wanavyothamini mchango wangu Waislam wamenitunuku nishani mara mbili kwa kazi yangu hii.

Ni bahati mbaya Muislam wewe unaona historia hii haina manufaa kwa umma.
 
Mwarabu suala la elimu hajawahi kulipa kipaumbele sana yeye ni dini na biashara kwa kias flan
Mpaji...
Hapa nakueleza historia ya Waafrika wa Tanganyika na si Waarabu.

Waliunda African Association 1929 na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) 1933 na wakawa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Baada ya uhuru walipitisha azimio la kujikwamua katika elimu kupitia EAMWS.

Wakiwa katika mchakato wa kujenga Chuo Kikuu serikali ikapiga marufuku EAMWS na kuunda BAKWATA.

Kila juhudi waliyochukua katika elimu ilikutana na kikwazo kutoa serikalini.

Nimeyaandika sana haya hapa.
 
lakini haitambuliki na hitatokea kwenye mitaala
Lup...
Haitambuliki vipi?
Haitambuliki na nani?

Kitabu kinakwenda chapa ya nne.

Shule ya msingi na sekondari haitambuliki lakini Vyuo Vikuu kwingi Afrika, Ulaya na Marekani kitabu ni mashuhuri.
 
🤣🤣🤣Mzee umepanick kuona neno mwarabu? Hapo Kuna member nlikuwa namwelewesha tu jambo dogo kwamba waarabu kwa asili sio watu wa kusaka elimu wao hua ni dini, biashara na vurugu/ugaidi, na waarabu wenye kuhitaji watoto wao wasome hua wanajua wawapeleke wapi watoto wao mfano mfalme wa Saudia alipompeleka Prince
 
Mpaji...
Panic maana yake ni hofu.
 
Waislamu wa pwani lazima watakupa nishani kwani ni wazuri katika kulalamika na kujikweza,......wanapenda kuunasibisha uislamu na uarabu, pwani ndiyo kuna concepts za mfumo kristo kwa wingi sana. Mostly historia yako naona imelenga zaidi kuelezea jamii ya ma babu zako akina Sykes though siyo mbaya but may be hata wao hawakuwa na plan thabit ya nini wanachopigania coz kama wanajeshi ilikuwaje waka loose mapambano ambayo wao ndiyo walianzisha....??? kiasi ambacho mpaka leo hii historia inabidi iandikwe upya kwa sababu yao....tukumbuke hata watu wabaya historia inawakumbuka sembuse hawa ambao walianzisha harakati za maana kabisa
 
Kupasi nguo? Ha ha ha... Vagina kweli wewe kilaza. Mi najifunza shuleni.


Hiyo ndiyo elimu uliyopewa katika shule zenu walizowajengea wazungu pamoja na makanisa , inaelekea umepata phd , na wazungu walikupa jina zuri la Chizi
 

Hivi ulivyoandika ni ushahidi tosha wa hiyo elimu uliyoipata huko kanisani kwenu
 

View: https://youtu.be/MVy1WcIKhDM
 
Hiyo ndiyo elimu uliyopewa katika shule zenu walizowajengea wazungu pamoja na makanisa , inaelekea umepata phd , na wazungu walikupa jina zuri la Chizi
Na wewe naona waarabu walipokupa Elimu wakakuchagulia jina hilo la vagina.
 
Shule ya msingi na sekondari haitambuliki lakini Vyuo Vikuu kwingi Afrika, Ulaya na Marekani kitabu ni mashuhuri.
Bahati mbaya shule ya msingi ndipo wanapofundishwa. Chuo Kikuu baadhi ya vitabu huchukuliwa kama rejea ya kujenga hoja
 
Inaonyesha katika hii dunia, kwa mtazamo wako, waislamu wanaonewa sana..!! Maana sijawahi ona post yako yoyote inayotaja wema wa wasio waislamu kwa waislamu..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…