Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #121
Shida unaileta wewe. Tukubaliane kwamba tupo tunazungumzia Cleopatra wawili...Mimi nazungumzia Cleopatra aliyekua mtawala misri. Ww unazungumzia dada yake alexander.Mkuu mbona unakichwa cha panzzi Cleopatra of Macedonia mtoto wa phillip II ndio dada yake na Alexander the great na huyo mwingine Cleopatra of ptolemaic Egypt
It's simple logic..
Mind you sijakataa kwamba alexander hakua na dada aitwae Cleopatra. Ila sio huyo wa misri