Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Mkuu mbona unakichwa cha panzzi Cleopatra of Macedonia mtoto wa phillip II ndio dada yake na Alexander the great na huyo mwingine Cleopatra of ptolemaic Egypt
Shida unaileta wewe. Tukubaliane kwamba tupo tunazungumzia Cleopatra wawili...Mimi nazungumzia Cleopatra aliyekua mtawala misri. Ww unazungumzia dada yake alexander.
It's simple logic..

Mind you sijakataa kwamba alexander hakua na dada aitwae Cleopatra. Ila sio huyo wa misri
 
Cleopatra alikuwa na dada Arsinoe ka Niko sahihi kimaandishi ambaye alikuwa anaongoza na mdogo wake Ptolemy na waliongoza some sort of Uasi Hadi Julius Caesar kuingilia ndio Cleopatra akamuwin kingono Caesar ndio dadake kupelekwa Rome na Caesar kumsamehe na kumweka ka kifungoni kwenye temple alivokufa tu Julius Caesar Cleopatra kupitia ushawishi wa Marc Anthony dadake akauliwa ili wasi compete kiutawala
You're smart and well informed, I didn't know that
 
Cleopatra alikuwa mu Giriki by nature na hyo ilitokea baada ya Alexander the Great kufa wale majemedari waligawana regions za kuongoza na ndio Ptolemy dynasty ikawa Ina rule Egpty ndio Cleopatra akafikiwa kuongoza. So Cleopatra was a Greek but leading Egpty
Thank you for the teaching. Beautiful with brain😊

Naweza kuja inbox unifundishe zaidi.
 
You're smart and well informed, I didn't know that
Yan umeona nafaidi kweli kufindishwa we Da'Vinci
jbpJmpsv_400x400.jpg
 
Julius Caesar huyu si alikua mtawala wa roman empire enzii hizoo lakini alishindwa kuitawala england..... It's just a history bana
 
Tumejiweka nyuma nyuma lazima tuachwe tu. Maana kila kitu tunataka tuandaliwe. Wachina wameweza kwakua wanajitegemea kila kitu. Hawaedit mila zao wala kufuata mila za wazungu

Sio kweli wachina wamebadili culture yao yote tena yote na kua full kizungu tena na kuwapita wazungu!
Kitu walicho bakiza cha kichina ni kula na vijiti tu!
 
Acha tu nimekutana na vingi hadi Inventor wa vitu vingi ni Weusi ila ndio vile tenA.

Kuna haja ya sisi kuandika vya kwetu mana tumepoteza hadi majina yetu ya Asili.
We are looser.

Never! Kama wewe na familia zako ni huko huko kwenye uloser na utabaki huko huko!
Kwani hujui kila kitu kina era zake ?
Kwa sasa ilikuwa ni wa magharibi, USA [emoji631] alishika dunia kama kama ya kwake na kufanya anavyo taka, sasa huyo anaondoka na dollar yake!
Acha kujidharau mtoto mdogo na kujitamkia maneno ya kishenzi shenzi, hujui kuwa maneno yana umba?
Basi nakwambia huo u loser uwe kwako na familia yako milele[emoji2959]
Idiotic mind set walahi!
 
Soma uelewe tusisome kujibu.
Nilichoandika hapo kamwe usifikiri imebeba kila kitu.
Jua nilikuwa na reflect ktk engo gani na sio kuwaka km gesi.

Na uko me kuleta mambo ya familia yangu direct... Umeshindwa kujishkilia au umeamka na Visungura.

KOMA
 
Wewe humjui huyu mtu mzee wa Walahi😅
Zamani alitumia ID ya ISIS
 
Back
Top Bottom