Wamulikwe wanaotumiwa kudhoofisha jitihada za Rais Samia Suluhu

Mwigulu Nchemba, Job Ndungai, Askofu Gwajima, Tulia Akson ,,,,,,,,,,.anzie na hawa
 
Msimfundishe udikteta mama si nyie mmesema kua ni haki ya demokrasia kila mtu kutoa hoja zake
Tulia dawa ikuingie uhuru na demokrasia vinakoma pale "uongo, uzandiki, uhujumu, uasi, uhaini, kuingilia uhuru wa mtu mwingine au kutotii mamlaka" vinapojitokeza...
Ukikosa adabu utaadabishwa lakini hautobambikiziwa kesi ya kutakatisha wala kupotezwa... demokrasia itatumika
 
Sasa kumbe mnajua haya Sasa mlikua mnalia Lia nn
 
Atuachie nchi yetu aende kudemka huko visiwani.
 
Mbona Serengeti ilishakauka kitambo ndugu au una ndege zako zilizokuwa zikileta watalii? au mwenzetu unaishi pluto?
 
Si nyie mlio kua mnamwita magufuli dikteta kisa ku deal na watoto wajinga wajinga
Jitafakari... ilisemwa "ole wao wanaoipinga serikali..." mkashangilia kwa viunu na vigelegele...
 
Si nyie mlio kua mnamwita magufuli dikteta kisa ku deal na watoto wajinga wajinga

Kina Ben, Azory, hata wale waliobambikiziwa kesi nk hawakuwa watoto wajinga wajinga kama unavyowaita wewe.

Mama na asaidiwe kuwafichua wajinga wajinga kama wewe wanaotukana viongozi mitandaoni kama wewe. Hizo si ndiyo zilikuwa lugha zenu?
 
Atuachie nchi yetu aende kudemka huko visiwani.

Huu ni ubaguzi wa wazi. Hivi kamanda Sirro na kile kitengo cha cybercrime waliacha kazi yao waliyokuwa wakiifanya kwa juhudi kubwa kipindi cha mwendazake?

Heshimuni taasisi ya urais. Mmeshindwa kutambua hii ni awamu ya sita, hamieni hata Burundi mkaishi huko.
 
Nikiwalinganisha SSH na mwendazake - so far SSH kashampiku mwendazake kwa mbali kabisa, najua CCM mwendazake wananunaa ila ukweli ndiyo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…