SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mwigulu Nchemba, Job Ndungai, Askofu Gwajima, Tulia Akson ,,,,,,,,,,.anzie na hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamulikwe pia wanaolazimisha kuonesha jpm hakufanya kitu
Tulia dawa ikuingie uhuru na demokrasia vinakoma pale "uongo, uzandiki, uhujumu, uasi, uhaini, kuingilia uhuru wa mtu mwingine au kutotii mamlaka" vinapojitokeza...Msimfundishe udikteta mama si nyie mmesema kua ni haki ya demokrasia kila mtu kutoa hoja zake
Sasa kumbe mnajua haya Sasa mlikua mnalia Lia nnTulia dawa ikuingie uhuru na demokrasia vinakoma pale "uongo, uzandiki, uhujumu, uasi, uhaini, kuingilia uhuru wa mtu mwingine au kutotii mamlaka" vinapojitokeza...
Ukikosa adabu utaadabishwa lakini hautobambikiziwa kesi ya kutakatisha wala kupotezwa... demokrasia itatumika
Atuachie nchi yetu aende kudemka huko visiwani.Mabibi na mabwana, mama Samia kadhamiria kwa dhati kabisa kutuvusha salama kama taifa.
Hii ni katika masuala yote msingi yakiwamo ya afya zetu na pia katika ujenzi wa taifa.
Kuhusiana na afya zetu hasa gonjwa hili linalotikisa dunia, mama Samia aliteua tume ya wataalamu ambayo tayari imeshatoa ripoti yake. Kilichobakia hapa, sasa ni utekelezaji tu.
Apongezwe sana mama Samia kwenye hili
Lingine la msingi ni ripoti za CAG kuhusiana na TPA na BOT. Hili linagusa moja kwa moja na ulipo mzizi halisi wa matatizo yetu haswa, ya kiuchumi.
Ripoti hizi na hatua husika zitakazofuata kuhusiana na ripoti hizi yatatueweka katika nafasi bora sana.
Hii nchi imekuwa ikichezewa mno kiuchumi katika awamu zote zilizopita. Tuliowaamini na waaminiwa wengi, wamekuwa ni kikwazo kikubwa. Hili bila exception awamu kwa awamu.
Yamekuwa yale ya umdhaniaye siye ndiye!
Pana haja ikibidi ya kutumia nguvu (minimum force) kuwadhibiti baadhi ya wanaoonekana kujitokeza kutaka kumkwamisha mama kwa sababu zao binafsi. Watambue kuwa urais unastahili heshima kama nilivyokuwa ikisisitizwa kwenye awamu ile.
Watu hawa wanaoonekana ni vibaraka wanotumiwa
na watu wasiolitakia mema taifa hili wakiwamo mabeberu. Watu hawa si wa kuvumiliwa hata kidogo.
Litakuwa jambo la msingi sana sote tukamwuunga mkono mama Samia anapodhamiria kulijenga taifa hili kuwa la haki kamili, kwa kutowaonea haya wenzetu wote ambao wanaonyesha kuwa mabingwa wa kukosa uzalendo.
Washindwe na walegee.
Ninawasilisha.
SSH anajikwamisha mwenyewe, uwezo mdogo wa kufikira, ukurupukaji wa kutoa maamuzi mkubwa, ubinasfi na chuki juu.
Tuna document tu maamuzi yake ili baadaye apate stahili yake.
Mosi, Kuruhusu wawekezaji waje na expatriates as per their desire.
Mbili, amewakatisha tamaa TRA kukusanya kodi, mapato yakipungua yeye ndio chanzo.
Tatu, ameweka 14 days quarantine to all foreigners, hii ina direct impact kwa utalii na biashara, ndani ya miezi 6 tu tutaona madhara.
Nne, amerudisha Ikulu Dsm, ina maana fedha yote iliyotumika kujenga Dodoma imepotea.
Tano, amekuwa modern Chief Mangungo kwa kuuza dhahabu kwa kioo, rejea makubaliono yake Kenya.
Sasa kumbe mnajua haya Sasa mlikua mnalia Lia nn
Si nyie mlio kua mnamwita magufuli dikteta kisa ku deal na watoto wajinga wajingaMnaopanua vinywa na kubwata ni ninyi... tulieni ...KAZI IENDELEE
Jitafakari... ilisemwa "ole wao wanaoipinga serikali..." mkashangilia kwa viunu na vigelegele...Si nyie mlio kua mnamwita magufuli dikteta kisa ku deal na watoto wajinga wajinga
Si nyie mlio kua mnamwita magufuli dikteta kisa ku deal na watoto wajinga wajinga
Atuachie nchi yetu aende kudemka huko visiwani.
Heee.. babati baligheherii ghae..umeanza tena kwa mama..kumekuchaaa..ghamilaaaaa....Samia ana mazuri yake na mabaya
Sasa kumbe mnajua haya Sasa mlikua mnalia Lia nn
Heee.. babati baligheherii ghae..umeanza tena kwa mama..kumekuchaaa..ghamilaaaaa....
wa kwanza kumulikwa alikuwa OLE LENGAI-HAI SABAYA
Tetetete acha kuota mzee babaHeee.. babati baligheherii ghae..umeanza tena kwa mama..kumekuchaaa..ghamilaaaaa....
afu walivyo wanafiki nyungu hawapigi tena kumuenzi baba yao.Sukuma gang hao