Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

Train ya mwaka 47 msitutanie aisee ,Arusha kiwango kingine hata kama nimechoka CCM au CHAdema bado msitutanie tuleteeni maendeleo ya kweli
Nchi za ulaya kama ujerumani na zingine bado zinatumia treni za zamani sana na ni nchi zilizoendelea. Acheni kukaririshwa na hao viongozi wachadema ambao hata jema kwao ni baya, alafu pia hii ni treni ya mizigo sio ya abiria.
 
Nchi za ulaya kama ujerumani na zingine bado zinatumia treni za zamani sana na ni nchi zilizoendelea..acheni kukaririshwa na hao viongozi wachadema ambao hata jema kwao ni baya..alafu pia hii ni treni ya mizigo sio ya abiria.
Hatuhitaji mifano ya mabeberu.
 
Tajiri Tanzanite,

Hiyo treni inakuleta unga kwenye sufuria?

Hivi inakuwaje watu wanashabikia vitu abavyo havina maana? Nilisikia huko Arusha waatu waliamasishwa kwa magari ya matangazo (PA) wejitokeze kwa wingi kwenda kuipokea treni. Wafanyabiashara waliamasishwa wafunge biashara zao ili wakaipokee hiyo treni.

Najiuliza tu, hivi hiyo treni ingefika tu Arusha kimya kimya na shughuli za usafiri zakaanza na watu wakaambiwa kuwa usafiri wa trein umeanza, je ungekwama?

Nikakumbuka huko Arusha kuna bosi wa TARURA aliamishwa kituo cha kazi na waziri Jaffo, kwa madai alishindwa kuwatangazia watu kuwa kuna uzinduzi wa barabara huko njiro.

Nikaona haya mambo yako kisiasa zaidi kuliko watu wanavyo fikiri.
 
Tajiri Tanzanite,

Swali je ameweka leli mpya? Kama jibu Hapana leli ilikuwa toka zamani unatakiwa kujiuliza kwnn hapo mwanzo ilikufa? Unatakiwa ujue hivi cc wanainch toka tupate Uhuru wa taifa hili hicho ndio chama tulixhokuwa nacho madarakani,ukiona unaposikia watu wanalipwa mishahara hewa ujue ni wao, mikataba mibovu ya madini ambapo tumepoteza mamilion ya Shilingi ujue kazi ya utawala huu WA chama hicho,ukisikia ufisadi jua utawala wa chama kilichokuwa madarakani ukisikia wafanyakazi wenye vyet feki ujue ni wao waliokuwa madarakani viwanda Vingi vimekufa wao, ndio waliviuwa baada ya kushindwa kuviendesha kutoka kwa wakoloni, unamkumbuka yule aliesema wanainchi wale majani lkn ndege za kutembelea raisi lazima inunuliwe ile ndege ipo wapi kwa sasa imesaidia nn kwa taifa lkn ilinunuliwa kwa pesa ya selikali.

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Nchi za ulaya kama ujerumani na zingine bado zinatumia treni za zamani sana na ni nchi zilizoendelea..acheni kukaririshwa na hao viongozi wachadema ambao hata jema kwao ni baya..alafu pia hii ni treni ya mizigo sio ya abiria.
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSiY5TWkTW3bsRs9Cvp799ylUOBzR6vGtSkJA&usqp=CAU

Ukimkuta mtu mzima mwenye kuheshimika analazimisha kudanganya watu wazima wenzake kuna mambo kadhaa ya kutazama;
1. Katumwa
2. Kapewa smartphone na data bure
3. Kuna malipo yasiyojulikana anayoyapata
4. Ashaona Wadanganyika wooote mazwazwa
5. Keshakata tamaa anavuta siku....
 
Lumumba hakuna hoja pale
Huu ujinga utaisha lini? Magufuli hajengi miundombinu kwa fedha zake na mkewe. Ni kodi zetu na ni wajibu wake. Kiongozi bora hapimwi kwa kigezo hicho. Amka Lumumba
 
Tajiri Tanzanite,

Hawa mafisadi wameitafuna sana nchi yetu na kisha kujawa na kiburi na kejeli, Mitano ya Mkono wa Chuma Sasa Basi.
 

Attachments

  • Makonda ajitangaza mla raha namba moja duniani..mp4
    857.8 KB
Chadema wajenge treni wamewai kuongoza nchi na kupanga matumizi ya bajeti ya nchi?????
Una elimu gani kwani Ndugu??? Naweza kuwa naelezana jambo na mtoto wa form three hapa!!
Inasikitisha sana, nilichogundua nchi hii kuna watu sababu wana uhakika wa kula hawajali kabisa wengine wanageuka vipofu kabisa
 
Hiyo Chadema katika majimbo yake imejenga treni ya kisasa?kama imeahajenga huko basi ndio utoe kauli kama hizi.
Vyama vya upinzani havina serikali so, havikusanyi Kodi! Kodi inakusanywa na serikali ya ccm! Na kwa maana hiyo ni wajibu wa serikali ya ccm kupeleka maendeleo nchi mzima bila ubaguzi! Huu utumbo unaoutetea hapa ni matokeo ya elimu duni uliyopewa na ccm ambayo haikusaidii zaidi ya kukuzidishia umaskini wa kila kitu! Tulia uelimishwe na acha ubishi wa kijinga!
 
Swali je ameweka leli mpya? Kama jibu Hapana leli ilikuwa toka zamani unatakiwa kujiuliza kwnn hapo mwanzo ilikufa? Unatakiwa ujue hivi cc wanainch toka tupate Uhuru WA taifa hili hicho ndio chama tulixhokuwa nacho madarakani,ukiona unaposikia watu wanalipwa mishahara hewa ujue ni wao, mikataba mibovu ya madini ambapo tumepoteza mamilion ya Shilingi ujue kazi ya utawala huu WA chama hicho,ukisikia ufisadi jua utawala wa chama kilichokuwa madarakani ukisikia wafanyakazi wenye vyet feki ujue ni wao waliokuwa madarakani viwanda Vingi vimekufa wao , ndio waliviuwa baada ya kushindwa kuviendesha kutoka kwa wakoloni, unamkumbuka yule aliesema wanainchi wale majani lkn ndege za kutembelea raisi lazima inunuliwe ile ndege ipo wapi kwa sasa imesaidia nn kwa taifa lkn ilinunuliwa kwa pesa ya selikali

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Maswali mengi hayana maana wana Arusha wako tayari kutoa kura za kutosha baada ya kugundua anatosha.Poleni sana wafuasi wa Lissu mtapoteza nguvu bure kwa huyo mwanaharakati asiyetambua hata chadema inataka nini.Yaani jamaa yupo yupo tuuuu
 
Bado General Tyre.. tukimaliza hapo uchumi wa kati tutakuwa tumeingia upper level
 
Mwaka 1929 Reli ilifika Arusha, Sasa wewe unataka tumsifu mtu ambaye reli imekuwepo hata kabla baba yake hajazaliwa? Na pia Chama anachokiongoza waliifunga makusudi ili wafanye Biashara ya Malori
 
Hiyo Chadema katika majimbo yake imejenga treni ya kisasa?kama imeahajenga huko basi ndio utoe kauli kama hizi.
Nani kakuambia reli inajengwa na hela ya CCM? Au unafikiria CHADEMA wangekuwa na nchi wangeshindwa kufanya mambo ya maendeleo? Mawazo ya wengine sijui yakoje. Kama unatetea CCM ni sawa lakini usiongee mambo yasio na mantiki
 
Pesa zilizojenga reli ni za jasho la wanachi mkuu, wao wanapanga tu pesa hio itumikaje, sioni cha kushukuru hapa 🥺🥺
 
Back
Top Bottom