Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
- Thread starter
-
- #61
Nchi za ulaya kama ujerumani na zingine bado zinatumia treni za zamani sana na ni nchi zilizoendelea. Acheni kukaririshwa na hao viongozi wachadema ambao hata jema kwao ni baya, alafu pia hii ni treni ya mizigo sio ya abiria.Train ya mwaka 47 msitutanie aisee ,Arusha kiwango kingine hata kama nimechoka CCM au CHAdema bado msitutanie tuleteeni maendeleo ya kweli
Hatuhitaji mifano ya mabeberu.Nchi za ulaya kama ujerumani na zingine bado zinatumia treni za zamani sana na ni nchi zilizoendelea..acheni kukaririshwa na hao viongozi wachadema ambao hata jema kwao ni baya..alafu pia hii ni treni ya mizigo sio ya abiria.
Kama hautaji mifano ya mabeberu bas na hii na democracy iliyopo kwa mabeberu tusiige pia.Hatuhitaji mifano ya mabeberu.
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSiY5TWkTW3bsRs9Cvp799ylUOBzR6vGtSkJA&usqp=CAUNchi za ulaya kama ujerumani na zingine bado zinatumia treni za zamani sana na ni nchi zilizoendelea..acheni kukaririshwa na hao viongozi wachadema ambao hata jema kwao ni baya..alafu pia hii ni treni ya mizigo sio ya abiria.
Huu ujinga utaisha lini? Magufuli hajengi miundombinu kwa fedha zake na mkewe. Ni kodi zetu na ni wajibu wake. Kiongozi bora hapimwi kwa kigezo hicho. Amka Lumumba
Inasikitisha sana, nilichogundua nchi hii kuna watu sababu wana uhakika wa kula hawajali kabisa wengine wanageuka vipofu kabisaChadema wajenge treni wamewai kuongoza nchi na kupanga matumizi ya bajeti ya nchi?????
Una elimu gani kwani Ndugu??? Naweza kuwa naelezana jambo na mtoto wa form three hapa!!
Vyama vya upinzani havina serikali so, havikusanyi Kodi! Kodi inakusanywa na serikali ya ccm! Na kwa maana hiyo ni wajibu wa serikali ya ccm kupeleka maendeleo nchi mzima bila ubaguzi! Huu utumbo unaoutetea hapa ni matokeo ya elimu duni uliyopewa na ccm ambayo haikusaidii zaidi ya kukuzidishia umaskini wa kila kitu! Tulia uelimishwe na acha ubishi wa kijinga!Hiyo Chadema katika majimbo yake imejenga treni ya kisasa?kama imeahajenga huko basi ndio utoe kauli kama hizi.
Maswali mengi hayana maana wana Arusha wako tayari kutoa kura za kutosha baada ya kugundua anatosha.Poleni sana wafuasi wa Lissu mtapoteza nguvu bure kwa huyo mwanaharakati asiyetambua hata chadema inataka nini.Yaani jamaa yupo yupo tuuuuSwali je ameweka leli mpya? Kama jibu Hapana leli ilikuwa toka zamani unatakiwa kujiuliza kwnn hapo mwanzo ilikufa? Unatakiwa ujue hivi cc wanainch toka tupate Uhuru WA taifa hili hicho ndio chama tulixhokuwa nacho madarakani,ukiona unaposikia watu wanalipwa mishahara hewa ujue ni wao, mikataba mibovu ya madini ambapo tumepoteza mamilion ya Shilingi ujue kazi ya utawala huu WA chama hicho,ukisikia ufisadi jua utawala wa chama kilichokuwa madarakani ukisikia wafanyakazi wenye vyet feki ujue ni wao waliokuwa madarakani viwanda Vingi vimekufa wao , ndio waliviuwa baada ya kushindwa kuviendesha kutoka kwa wakoloni, unamkumbuka yule aliesema wanainchi wale majani lkn ndege za kutembelea raisi lazima inunuliwe ile ndege ipo wapi kwa sasa imesaidia nn kwa taifa lkn ilinunuliwa kwa pesa ya selikali
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Nani kakuambia reli inajengwa na hela ya CCM? Au unafikiria CHADEMA wangekuwa na nchi wangeshindwa kufanya mambo ya maendeleo? Mawazo ya wengine sijui yakoje. Kama unatetea CCM ni sawa lakini usiongee mambo yasio na mantikiHiyo Chadema katika majimbo yake imejenga treni ya kisasa?kama imeahajenga huko basi ndio utoe kauli kama hizi.