Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

Watu wa Arusha wana viwango vyao vya maisha, gogo hilo halina thamani kwao. Angalia bus zote za Arusha ni matawi ya juu nani apande treni? Mizigo?
Hili ni jukumu lao kuboresha miindo mbinu hivyo hawastahili asante yoyote...
Bus za wap matawi ya juu labda. Kwani ni wapi bus mbovu siku hizi zinaenda. embu angalia mikoa yeto km bus zoote ni pamba kwa sababu barabara ni nzuri sana. Ulaya wenywe wanatumia tren sembuse tz. Tren ziko very economy. Nauli ni rahisi sana. hata usafirishaji wa mizigi ni cheap kwa sababu wanasafirisha ni bulk. Yaan kama gunia moja unasafirisha kwa elfu tano kwa lori kwa treni litakuwa elfu.
 
bus za wap matawi ya juu labda. Kwani ni wapi bus mbovu siku hizi zinaenda. embu angalia mikoa yeto km bus zoote ni pamba kwa sababu barabara ni nzuri sana. Ulaya wenywe wanatumia tren sembuse tz. Tren ziko very economy. Nauli ni rahisi sana. hata usafirishaji wa mizigi ni cheap kwa sababu wanasafirisha ni bulk. Yaan kama gunia moja unasafirisha kwa elfu tano kwa lori kwa treni litakuwa elfu.
Hivi unathubutu kulinganisha treni za ulaya na hizi zetu kama gari za mkaa?
 
Hiyo treni tumeishaipanda kitambo sana enzi tunakula matindi wala hiyo haiwezi kuwa sababu ya sisi kupigia kura CCM chama cha Mafisadi kilichoiua hiyo treni kwa miaka 30.
 
Hivi unathubutu kulinganisha treni za ulaya na hizi zetu kama gari za mkaa?

Sasa maendeleo hatua moja kwenda mbele au unataka kuanzia juu hata Ulaya walikuwa na km za kwetu. ndio maana tunamove sasa hivi kwenda zinazotumia umeme. Pamoja na kwamba ulaya walitumia rasilimali za Afrika na watumwa kujiendeleza ktk nchi zao ila hata sisi tutadika huko huko. Maendele ni hatua kwa hatua.
 
Kwani hizo treni, barabara na ndege, mmenunua na pesa ya ruzuku ya ccm?
Hapana ni kodi za watanzania ambazo wanatakiwa waone kodi yao inafanya nini. Ndio maana tunapoenda kuomba kura tunasema tatafanya nini kwa miaka mitano. au wewe uelewi wagombea wanapoamba kura na kuhaid kufanya kile ambacha kitaendeleza taifa hili si kwa ela zao bali ni kwa kodi za wananchi ndio maana unamwomba mwanchi akupe kura then ukafanye kazi kwa kutumia kod za wananchi na mwisho wa siku lazima urudiahe majibu. ndio km hivyo unaona serikali ya çcm inajenga barabara, hospitali, umeme( rea), tren, meli, etc
 
Tajiri Tanzanite,
Kwani walikuwa wanatembea kwa miguu kwenda Dar? Lile la Moshi nasikia linaendaga huko msimu wa Christmass
 
Hapana ni kodi za watanzania ambazo wanatakiwa waone kodi yao inafanya nini. Ndio maana tunapoenda kuomba kura tunasema tatafanya nini kwa miaka mitano. au wewe uelewi wagombea wanapoamba kura na kuhaid kufanya kile ambacha kitaendeleza taifa hili si kwa ela zao bali ni kwa kodi za wananchi ndio maana unamwomba mwanchi akupe kura then ukafanye kazi kwa kutumia kod za wananchi na mwisho wa siku lazima urudiahe majibu. ndio km hivyo unaona serikali ya çcm inajenga barabara, hospitali, umeme( rea), tren, meli, etc
Basi hiyo haiwapi advantage yoyote, Kwa sababu hata wanaomba kupokea kijiti ni ili wafanye hayo hayo! Tatizo ni pale mtoa mada anataka kutuaminisha kwamba ccm wametufanyia hisani wana-Arusha kwa kuleta treni! Labda ‘Mabeberu’ wanaotoaga zaidi ya 40% ya budget yetu na kutukopesha kufanya hiyo miradi ya maendeleo, ndo waombe kututawala kwa hisani zao!
 
Tajiri Tanzanite,

" Arusha imekuawa na historia mbaya ya machafuko ya kisiasa ".
Wewe na serikali yako ya ccm nani mkweli? Maana serikali kila siku inahubiri amani na kutaka watalii wa ndani nje watembelee vivutio vilivyomo ndani ya nchi. Lakini wewe unapingana na serikali yako unapodai kwamba kuna machafuko.

"Tunakumbuka Arusha kwa miaka ya nyumba ilikuwa ni mji ambao serikali ilipendekeza kufanyia mikutano yake ya kimataifa".
Kama kuna kikundi kidogo ambacho kinaweza kuizuia serikali kuendelea na mipango yake kama ilivyo jipangia, je serikali hiyo ina pata uhalali gani wa kuongoza hali yakuwa inashindwa hata kudhibiti kikundi kidogo chenye kuleta machafuko (kuvuruga amani) ndani ya nchi?

"Kitendo cha Rais Magufuli kufufua Reli na kufikisha Arusha".
Kufufua reli maana yake ni kwamba alikuwa imekufa. Swali la msingi, je ni nani aliua usafiri wa treni kuja Arusha? Kivyovyote vile jibu litakuwa ni serikali ya ccm. Je ccm inapataje uhalali wa kubaki madarakani kwa kuua mradi huu kwa miaka karibia 26?

"Hawa wapinzani hawajawahi kuleta maendeleo yeyote hapa Arusha".
Linapokuja suala la maendeleo ndani ya nchi huwa ni jukumu la serikali kutekeleza hayo. Mbunge ni muwakilishi kati ya serikali na wananchi walio mtuma kuwawakilisha bungeni. Na kwa kupitia bunge, mbunge anawasilisha kero za wananchi kwa serikali ili izifanyie kazi. Je serikali yako ya ccm inazifanyia kazi kero za wananchi zinazowasilishwa na mbunge wa upinzani? Je serikali yako ya ccm inashirikiana vipi na mbunge wa upinzani ambae ndiye muwakilishi wa wananchi kuleta maendeleo katika kila jimbo husika?

"Hizo barabara zilizojengwa ndani ya mji wa Arusha ambayo chadema inatumia kama ngao,ya kuwadanganyia hao wafuasi wake ni project ya World Bank iliyoanza kipindi cha Kikwete."

Hivi kuna mradi wowote ndani ya nchi hii unafanyika/uliofanyika bila msukumo wa wahisani kutoka nje? Unajua hata elimu yetu kuna mkono wa wahisani ndani yake? Unajua hata afya zetu kutengemaa kuna mkono wa wahisani ndani yake? Nk? Miaka zaidi ya 50 kuwa huru bado tumekuwa omba omba. Licha ya misaada bado kuna mikopo. Unajua serikali ya ccm mpaka sasa imekopa kiasi gani? Wewe kama mwananchi unajua unadaiwa kiasi katika deni lililo sababishwa na serikali yako ya ccm?

Yaani maswali ni mengi mno, acha tu niishie hapo.
 
bus za wap matawi ya juu labda. Kwani ni wapi bus mbovu siku hizi zinaenda. embu angalia mikoa yeto km bus zoote ni pamba kwa sababu barabara ni nzuri sana. Ulaya wenywe wanatumia tren sembuse tz. Tren ziko very economy. Nauli ni rahisi sana. hata usafirishaji wa mizigi ni cheap kwa sababu wanasafirisha ni bulk. Yaan kama gunia moja unasafirisha kwa elfu tano kwa lori kwa treni litakuwa elfu.
Well said!
 
Unatumika kama mpira wa kufanyia mapenzi (condom). Utatupwa baada ya kuloweshwa.
Nyie mmeshindwa kumtoa mwenyekiti wenu kwa zaidi ya miaka ishirini,alafu mnataka kuwaletea watanzania democracy non-sense.
 
Wewe [emoji35][emoji35][emoji35]. Hakuna cha kufananisha na uvunjifu wa utawala bora. Manyanyaso tu ndio yanaonekana hata Jiwe afanye nini.
 
Nyie mmeshindwa kumtoa mwenyekiti wenu kwa zaidi ya miaka ishirini,alafu mnataka kuwaletea watanzania democracy non-sense.
Tumtoe tumpeleke wapi?tunamhitaji bado,aendelee kuwanyoosha. Hilo ligari moshi lileteni, si lilikuwepo na mlikuwa madarakani miaka yote.

Tulieni Lissu awafundishe nchi itakavyoendeshwa
 
Hizi kauli za kurudishia viongozi ahsante ni kauli za kipumba.vu sana kuwahi tokea ktk taifa hili, na imeshamiri sana awamu hii, hivi wajibu wa viongozi ni upi kama kila watakachofanya basi warudishiwe fadhila?
 
Tajiri Tanzanite,
Serikali na ccm wanapaswa kuadhibiwa mwaka huu kwa kuua reli ya kaskazini kwa miaka 30 tumepata hasara kubwa sana.
 
Tajiri Tanzanite,

Arusha imejaa wafanyabiashara hasa wanawake wa lichagga. Sasa kupata Arusha kwa kuchoma ofisi itakuwa ngumu sana. Ukweli Arusha manispaa bila kuwa mchagga pale ni lazima upewe sifa na mtu mwingine Lazaro aliwekwa na Lema.
 
Back
Top Bottom