Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ukimaindi Poa!
Kuna mijadala ya kipumbavu sana inayooendeshwa na wana CCM mitandaoni, kuna wakati unajiuliza, huyu aliyeandika hiki ana ni mzima kweli au yuko hospital? CCM mna mambo mengi ambayo mngeweza kuyaeleza kwa uongo unaoleta mantiki kidogo kuliko hizi siasa za kitoto za kum-quote Mbowe na Lema na Lissu kila saa.
Zungmzeni kuhusu madaraja, zungumzeni kuhusu barabara, zungmzeni kuhusu shule, zungumzeni kuhusu Ukubwa wa Baraza la Mawaziri with zero outputs, zungmzeni kuhusu madarasa na watoto wetu waliojazana kama machungwa ya Muheza, mna mengi ya kuzungumza (mkiyajengea uongo mzuri). acheni ku-attack personalities with fake accusations.
Watanzania wa leo wana akili,wanajitambua, ccm tafuteni vijana au makada wenye uwezo wa kujenga hija muwalete mitandaoni, wawe challenged, msikubali "mpuuzi" mmoja au msimtume aje aandike ujinga (cheap propaganda) kisha muanze kusifia ujinga.
Mna watu wenye uelewa kidogo, waambieni watumie hizo akili badala ya kuzitumia kukimbizana na Uchaguzi, Tanzania ni zaidi ya uchaguzi.