Wana-CCM wengi hawana uelewa wa mambo, hawawezi kujenga hoja

Mbowe alilia hapo Ufipa st mmemfilisi

CCM imesikia kilio chake!
CCM mnawaza kuiba, Mbowe analalamika amefilisika kuipigania haki, nani mwenye akili sasa hapo? John ndio maana nasema hamna akili nyie watu!
 
Wengi wao shule iliwashinda.

Mi kuna Wana CCM kibao nimesoma nao ni vilaza hatari ila wanapewa majukumu makubwa.

Ndo maana Taifa haliendi mbele
 
CCM mnawaza kuiba, Mbowe analalamika amefilisika kuipigania haki, nani mwenye akili sasa hapo? John ndio maana nasema hamna akili nyie watu!
Mbowe analipwa mshahara na serikali atapigania haki ya nani?

Akienda kinyume ni Ugaidi!
 
Kumbe huwajui ccm vizuri.
Sio kwamba hatuna akili, tatizo akili zimeganda kutokana na kujipendekeza kwa viongozi, kutaka madaraka, kuogopa kuitwa mpinzani, kukosa teuzi nk nk. Hakuna aliye tayari kuharibu wasifu wake na wa kizazi chake eti kwa sababu tu ya kutetea watu/jambo fulani hata kama ni la kweli.

Wengi wanaenda na upepo wa kiongozi husika. Ccm wana akili sana.
Na ndio maana maisha yao binafsi na kizazi chao kwa walio wengi, yanakwenda bila usumbufu wowote
 
nyundo ipi mbona kila siku nawabutua humu wajinga wenu na wanaufyata kama mnaweza waleteni mimi niko tayari kuwabutua kikamilifu hasa sukuma gang na uvccm.
Labda kwa matusi lakini si hoja, CDM kwasasa hamna hoja zaidi ya kupamba na kaburi la Magufuli na kumsifia mwenyekiti wa CCM, si unajua tena mambo ya 🍯😋
 
Ubinafsi TU ila nimecheka sana
 
Mbowe analipwa mshahara na serikali atapigania haki ya nani?

Akienda kinyume ni Ugaidi!
Ulishawahi kumchukulia salary slip? Acha kuota wewe, Mbowe alianza biashara za kimataifa wewe ukiwa huna hata pesa ya kununua kiroba
 
Ulishawahi kumchukulia salary slip? Acha kuota wewe, Mbowe alianza biashara za kimataifa wewe ukiwa huna hata pesa ya kununua kiroba
Wakati namiliki Bito Mwenyekiti wako alikuwa Mgambo pale Benki kuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…