Wana-CCM wengi hawana uelewa wa mambo, hawawezi kujenga hoja

Ubinafsi TU
Unajua kwenye haya maisha, ukiwa huna unakuwa na mipango mingi sana. Ukipata mipango inavurugika.

Ndivyo ilivyo kwa wanasiasa hasa wa ccm. Na ndio maana baadhi yao baada ya kupoteza nafasi walizonazo wanakuwa na hoja za maana ila wakirudishwa tu madarakani wanakuwa 'mambuzi'
Siasa ni mchezo unaotaka akili kubwa bila kukurupuka ama sivyo utapotezwa jumla
 
Hakuna mtu mwenye Akili Timamu anayeweza kusikiliza ujinga wenu chadema, mmejaa mimatusi midomoni mwenu utafikiri mmeopolewa kwenye shimo la maji taka, hao viongozi wenu Kama akina Lema walikuja kwa watanzania wakiwa wamechoka na kupoteza nuru ya macho yao ,lakini Leo baada ya kuvimbewa viinua mgongo wanaanza matusi na dharau,

Watanzania wanawasubiri kwenye sanduku la kura waje wawaadabishe na kuwanyoosha mnakwenda kuvuna aibu ya karne.

Ninyi Ni wakuongozwa tu mtake msitake lazima muongozwe maana hamjitambua Wala kunielewa ndio maaana mmekalia matusi tu midomoni mwenu, hamna Sera Wala ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

CCM Itaendelea kuongoza na kutawala wakati na muda wote maana ndio Tumaini la watanzania na chama kilicho katika mioyo ya watanzania
 
I am very sorry Young Man, hii thread ni kwa ajili ya wakubwa zako. Sorry
 
Hakika! Wana siasa wa CCM wanakuaga na mwisho mbaya sana
 
Ni hoja gani ya kujenga mnazoziongea kwa wananchi kwenye hiyo mikutano yenu zaidi ya kumuongelea vibaya magufuli
 
 
Mim naona mungu kanisaidia sana silipendi hili ccm tangu nikiwa primary school,na hata wanangu walichukie haina future nzuri kwa vijana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Usiwashtue mkuu.Waache walete ujinga wao halafu tuwachezee kwa komenti za kitapeli ili wafurahi.Mtu mjinga na muongo usimuoneshe kwamba umemaizi u-hopeless wake.Atabadili mbinu halafu akusumbue.Let them be, boss!
 
„Tanzania ni zaidi ya uchaguzi“ . Ungejua kuwa CCM Abi chama cha Siasa na Siasa ni Uchaguzi na Uchaguzi wala usingeandika hiyo sentenci Hapo juu. Nahisi wewe ndo una Shida kubwa.
Afrika haiendelei kwa sababu watawala wanawaza namna ya kubaki madarakani badala ya kufikiria zaidi namna ya kuleta maendeleo kwenye mataifa yao - Rais Obama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…