Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kama ambavyo tulichelewa kufanya maamuzi sahihi ya kutoshiriki chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiyo huru,, ndivyo tunachelewae kufanya maamuzi magumu ya kususia mahakama hizi zisizo huru pamoja na vyombo vingine vinavyohisika na uendeshaji wa kesi hasa hizi zenye sura ya kisiasa katika nchi yetu.
Hata hivyo, naamini kila jambo hutokea kwa makusudi maalumu, hivyo huenda kupitia hii kesi ya Mbowe, wapinzani tukalazimika kufanya maamuzi magumu huko mbeleni.
Inawezekana kabisa hii kesi ya Mbowe yenye adhabu kali, imekuja baada ya sisi kushindwa kujifunza kutokana na kesi za kina Sugu, Lijuakali(kabla hajaasi) ina ile ya makamanda kuandamana, maandamano yaliyopelekea kifo cha Aquilina, kutotupa somo nini tunapaswa kufanya.
Yaani kama tulivyopata somo kutokana na Uchaguzi Mkuu wa 2020 chini ya hii Tume isiyo huru, ndivyo tunaweza kupata somo na kuchukua hatua kupitia kesi hii ya Mbowe hasa pale hukumu itapotoka, na ndio maana nasema, huenda Mungu ana makusudi kupitia hii kesi kwani itakuja au kuambatana na mengine mengi ambayo pengine yaaingetokea pasipo hii kesi.
Kila jambo hutokea kwa makusudi, hivyo tusubiri kuona ni yepi hayo makusudi ya hii kes ingawa wengine tumeshaa anza kuona nini kinaweza kutokea hapo baadae hasa iwapo watatubutu kumfunga kamanda wetu.
Tanzania mpya chini ya chama kipya madarakani inaandaliwa ingawa kuna wanaoumia zaidi kama huyu ndugu yetu Feeman Mbowe.
Tafakari mambo haya huko Mahakamani: