Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

Nyie mna utoto sana maneno ya kuchafuana kiasi kile yanafutikaje?? Lissu kadharaulika mno na wenye akili zao na hatafika popote tupo hapa!!

Binafsi nilimpenda sana lakini sahv namuona kama kinyesi!! Sikuwahi fikiri Lissu ni mshenzi kiasi kile
Ila alipokuwa akiwasigina kwa tuhuma viongozi wa ccm ulikuwa unashangilia tu?

Huu uchaguzi wa chadema imedhihirisha ni jinsi gani Mbowe ana michawa kuliko hata Samia
 
Hajalalamika vipi wakati alisema Lisu aponye majeraha ya kampeni
 
Kwahiyo Mbowe ndio angemfanya Samia asilale usingizi?
 
Wachaga wajinga wameumia sana sana sacos yao kufa🤣🤣🤣
 
Yaani chawa w kimangi wanaona wanachadema ni wajinga???
...
 
Lissu alisema Mbowe kauza chama kwa mama abdul na amerwmba asali alipotoka jela. Ile ni zaidi ya siasa ni uhalifu dhidi ya Mbowe.
Wapi alisema haya?

As far as I know, hii ilisemwa mara nyingi hata kabla ya Tundu Lissu kutangaza kuwania uenyekiti...

Na hii ni kweli kwa sababu Freeman Mbowe alishashindwa kukanusha tuhuma hii kwa evidence

Badala yake, kila aliyemhoji aeleze walijadiliana nini na Bi Samia (Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM taifa) alipotoka gerezani kimyakimya na kwenda ikulu moja kwa moja bila kuwashirikisha wenzake kwenye kamati kuu (chombo kikuu cha utendaji wa chama wa shughuli za kila siku) jamaa huwa mkali na kuwatengenezea wenzake zengwe..

Amefanya hivyo kwa Peter Msigwa mpaka akaondoka kwenye chama na kuhamia CCM..

Amefanya hivyo kwa Tundu Lissu na alikuwa kwenye harakati za kumfukuza chamani...

Alifanya hivyo kwa Godbless Lema, John Heche, Jaston Garubindi na wengine....

Hujiulizi kama huo ni uongo, anaficha nini? Kwanini wanaomuuliza aeleze ukweli anawatengenezea zengwe..?

Think about it vrry carefully, kisha njoo tena tujadiliane...
 
Mlimfanya Mbowe ni mungu hapo chadema
Res ipsa dooze...

Its really speaks for itself... Mahubiri ya kampeni tunasubir utekelezaji wake , chini ya siku 140 kuanza kampeni,
Hakuna jipya... And most probably no funds ..
 
Mbowe katuhumiwa na Lissu. Alafu unataka Mbowe aliyetuhumiwa ndio alete ushahidi? Akyamungu chadema kuna wajinga sana
 
Siasa zetu, campaign za ndani na nje ya vyama zinathibitisha upuuzi au weledi wa jamii na taifa kwa ujumla.
Hata hivyo, hii ya chadema ilitia fora.
Maisha lazima yaendelee, msisitizo kwa kizazi hiki na vijavyo ukiwa matumizi ya akili ya kawaida (common sense), busara na hekima kufikia malengo bila mihemko.
 
Hapa mnajifariji tu, muda wa Mbowe ulishapita, naona mnajiliza tu.
 
Retired
 
Kampeni kwa uchaguzi gani, huu ambao wahesabu kura ndio wanaamua matokeo?
Sasa ule ubaridi wa kulamba asali unahitajika tena?

Si mlisema tuna pachimba?🙌

Muda ni hakimu
 
Mbowe katuhumiwa na Lissu. Alafu unataka Mbowe aliyetuhumiwa ndio alete ushahidi? Akyamungu chadema kuna wajinga sana
Jifunze kusoma maoni ya wenzako kwa uangalifu na umakini kabla hujakurupuka kujibu hoja usiyo na ufahamu nayo...

Nilikuambia wewe ndiyo uweke evidence ya ushahidi wa kauli ya Tundu Lissu ikiwa ktk fomu yoyote ile video, voice note au maandishi akisema hicho unachokisema wewe hapa...

Aidha nimekuambia waziwazi kuwa, tuhuma na shutuma za Freeman Mbowe kulambishwa asali na Samia na kukiuza chama kwa Abdul na mama yake hazikuanza juzi wakati wa kampeni za uenyekiti....

Tuhuma na shutuma hizi ziko siku nyingi kabla na ofcoz ndizo hasa zilizomwangusha Freeman Mbowe na kumtoa kwenye uenyekiti...

Hata ingekuwa hivyo, Tundu Lissu hahitaji kutoa ushahidi wowote vivid kuthibitisha tuhuma, shutuma na madai haya dhidi ya Freeman Mbowe kuuza chama kwa mama Abdul na mwanae Abdul kwa kuwa ushahidi uko wazi ktk uso na matendo ya Freeman Mbowe mwenyewe labda uwe huna macho ya kuona na ufahamu wa kusoma hali ya mambo na kuelewa...

Mabadiliko ya kitabia na mwenendo, misimamo ya kisiasa ya Mbowe ni ushahidi ulio wazi kabisa..

Na ndiyo maana wana CHADEMA wamempiga chini pamoja na heshima na kazi kubwa aliyoifanya kusimamia ukuaji wa chama hiko kwa miaka 20+ ya uenyekiti wake...

Unfortunately, alianza vizuri na akaendelea vizuri lakini kamaliza vibaya kwa sababu amekubali meenyewe kuchuuza utu na reputation yake kwa vipande vya fedha...

Labda wewe hujui tu. Ngoja tukueleze...

Unajua kuwa kwenye Bank Account ya chama kumekutwa zaidi ya TZS 4B bila kujulikana chanzo chake zimetoka wapi? Serikali imenyuti na CHADEMA wanaziangalia tu kuona nani atakuja kuzidai. Asipotokea mtu kudai, zitatumika kwa shughuli za chama...

Ndugu, chunga sana Abdul na mama Abdul. Ukikaa na vibaya, watakuabisha kama ambavyo nduguyo Mbowe ameaibishwa tayari...!!

Moja ya habari utakayoisikia muda si mrefu, ni ufafanuzi wa hili. Tega sikio...
 
Aliidharau wapi,au kwenu kuyaongea mapungufu na maboresho tarajiwa ni zambi kwenu?
 
Mzee mbona Kama mmejirekodi ukiwa na wahuni wenzako mnapasiana mic.

Unasema hunywi pombe huku unafanana Kama kujifuta mdomo kupacify ili ukwepe kaaibu ukae Sawa kuendelea kuongea uongo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…