Mbowe katuhumiwa na Lissu. Alafu unataka Mbowe aliyetuhumiwa ndio alete ushahidi? Akyamungu chadema kuna wajinga sana
Jifunze kusoma maoni ya wenzako kwa uangalifu na umakini kabla hujakurupuka kujibu hoja usiyo na ufahamu nayo...
Nilikuambia wewe ndiyo uweke evidence ya ushahidi wa kauli ya Tundu Lissu ikiwa ktk fomu yoyote ile video, voice note au maandishi akisema hicho unachokisema wewe hapa...
Aidha nimekuambia waziwazi kuwa, tuhuma na shutuma za Freeman Mbowe kulambishwa asali na Samia na kukiuza chama kwa Abdul na mama yake hazikuanza juzi wakati wa kampeni za uenyekiti....
Tuhuma na shutuma hizi ziko siku nyingi kabla na ofcoz ndizo hasa zilizomwangusha Freeman Mbowe na kumtoa kwenye uenyekiti...
Hata ingekuwa hivyo, Tundu Lissu hahitaji kutoa ushahidi wowote vivid kuthibitisha tuhuma, shutuma na madai haya dhidi ya Freeman Mbowe kuuza chama kwa mama Abdul na mwanae Abdul kwa kuwa ushahidi uko wazi ktk uso na matendo ya Freeman Mbowe mwenyewe labda uwe huna macho ya kuona na ufahamu wa kusoma hali ya mambo na kuelewa...
Mabadiliko ya kitabia na mwenendo, misimamo ya kisiasa ya Mbowe ni ushahidi ulio wazi kabisa..
Na ndiyo maana wana CHADEMA wamempiga chini pamoja na heshima na kazi kubwa aliyoifanya kusimamia ukuaji wa chama hiko kwa miaka 20+ ya uenyekiti wake...
Unfortunately, alianza vizuri na akaendelea vizuri lakini kamaliza vibaya kwa sababu amekubali meenyewe kuchuuza utu na reputation yake kwa vipande vya fedha...
Labda wewe hujui tu. Ngoja tukueleze...
Unajua kuwa kwenye Bank Account ya chama kumekutwa zaidi ya TZS 4B bila kujulikana chanzo chake zimetoka wapi? Serikali imenyuti na CHADEMA wanaziangalia tu kuona nani atakuja kuzidai. Asipotokea mtu kudai, zitatumika kwa shughuli za chama...
Ndugu, chunga sana Abdul na mama Abdul. Ukikaa na vibaya, watakuabisha kama ambavyo nduguyo Mbowe ameaibishwa tayari...!!
Moja ya habari utakayoisikia muda si mrefu, ni ufafanuzi wa hili. Tega sikio...