Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
CDM ipo kitu kimoja from its start to date na hatuwezi kuwa wamoja kwenye suala la siasa za kuokoteza wagombea ni useless politics.Wana CDM mnapaswa kuwa kitu kimoja na kuamua kukubaliana la sivyo mtasambaratishwa. Kinachowashikamanisha ccm ni hofu ya kukosa keki (madaraka), lakini hofu hiyo haipo kwa CDM sana. Hivyo inabidi watu wawe na upeo mkubwa sana kuwa na umoja kwa ajili ya Chama. CCM itasambaratika kama nyumba mbovu siku wakipoteza madaraka, lakini kwa sasa hofu ya kukosa keki ndio inayowapa discipline.
Mtu kama Membe kwa uelewa wako anauwezo wowote wa kiuongozi kuweza kuongoza mageuzi ?
Kwenye katiba mpya aliunga mkono upande wa shetani dhidi ya wananchi kuna kipi kimebadilika sasa mpaka awe sehemu ya mageuzi?